kuna vitu vingi mimi binafsi navielewa,navipenda,navikubali,navihusudu, lakini kampani yangu kubwa wanavipinga..sasa sijui ni kwamba najua sana au....
mfano
nampenda kiba sio diamond
nampenda...
Kipindi kile ule wimbo watu walizani ni rahisi sana kuwa na mpenzi ukiwa fukara sana.
Hivi inawezekana eeeh
tia mistari kidogo
.......na alitoa elfu 10 na alikua anataka dafu
oooh no keep...
Aiseeee.....maisha marefu chit chat. Nimepamis sana. Ila, sema ndo hivyo sasa, now its my turn to serve my world, for it served me for so long! Am so grateful !
Sasa tufanye hv. Mtu mzima mishe...
Foleni ipo barabarani,bombani,visimani,kununua luku na hata kwenye mapenzi kuna foleni.
Ukiwa na pesa kibao utakuwa namba wani kupewa penzi lakini ukiwa kapuku utasubiri sana.
Ukiwa mwanamke...
Nawasalimu katika jina la baba huu ni uzi kwa tulio na mademu wahenga mkuje hapa tupeane ushauri na hata mabiti pia wenye mabwana wahenga tukutane hapa
Usisahau kutaja miaka ya uyo muhenga wako...
Hizi ndizo njia za kumteka huyu mlengwa
1) kuwa mcheshi kwake
2) uwe mtu unayemjali-mchukulie kama dada au mdogo wako
3) Akigombezwa kuwa wa kwanza kumtetea ,wakemee wadogo zako na ndugu...
William Malecela (Lemutuz) au makinikia kama anavyojulikana katika ulimwengu wa mitandao ya kijamii kwa sasa ameitikisa tasnia ya television nchini baada ya kutangaza ujio wa TV yake.
Masaa...
ni wimbo upi hutousahau wakati unaagwa kwenye mahafali ya darasa la saba?
binafsi kuna wimbo huu huwa naumiss hadi nalia nkiukumbukaga.
tthe greaters dear the time is over!! let shake our hands...
Wakuu mimi nimecheza gemu nyiingi sana hizi za PC ingawaje kwa miaka ya hivi karibuni nimesitisha kidogo ila hakuna gemu ambalo nalikubali sana kama Motor Kombat 4 aisee hili gemu haliishi hamu...
Kijiweni bhana!
iwe kwenye kahawa,drafti,kwa fundi baiskeli...kwa fundi wa kushona nguo,stori ni kiungo muhimu sana kuliko kitu chochote mahali hapo...mara Simba mara Yanga,Man U mara Chadema mara...
Habari wakuu...
Nilipata namba yake nilichart nae dakika kadhaa na nikamueleza ukweli NAMPENDA haya mtoto kanielewa???
Nini kinafuata baada ya hapo wakuu???
Ushauri wenu nahitaji nile huyu...
*MAISHA YA NDOA YANATAKA SUBIRA SANA......UNAWEZA KUNUNUA PARACHICHI LAKO JIONI ULE NA WALI UNAKUTA MWENZAKO KALIPONDA KAPAKA USONI[emoji18][emoji18][emoji18]*
Sent using Jamii Forums mobile app
Yafuatayo ni mambo makuu matatu ambayo wanandoa wakiyaelewa na kuyafanya kwa uaminifu, amani na Upendo vitadumu kwa wanandoa na hakutakuwa na neno taraka tena.
Mambo yenyewe hata Mimi siyajui...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.