Nimefanya utafiti wa muda mrefu kupitia mahotel makubwa,migahawa ,pia hata majumbani ,,hatimaye nimegundua kwamba wanaume wanajua sana kupika kuliko wanawake.
Wanawake wengi wana lipua tu...
Ndugu zangu kilichonikuta Leo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]!!!!!
Nilikuja Dar ijumaa.(siishi dar huwa nakuja matembezi)
Kumbe mji una wenyewe!!!
Leo si nikatoka nataka kwenda...
[emoji121]
WAKUU,
HUKU KITAA NILIKOHAMIA HIVI KARIBUNI PANDE ZA #MBAGALA_MAJI_MATITU
TUPO WAPANGAJI WANNE-
MIMI NA AKINA DADA WATATU!!!
INGAWA MIMI SIO WA KISHUA,
HAWA AKINA DADA USWAHILI WAO...
Sema uzuri Wa hizi namba tunasoma wote hata wale waliokuwa wanawaimbia wenzao kwa kejeli 2015. Ahsante mh Rais Magufuli.
Sent using Jamii Forums mobile app
1.SIMBA vs YANGA
2.MONDI vs KIBA
Utaenda wapi ili uridhike kunako kwa moyo,kana kwamba hata baby ako akikutext nitumie laki 2 unatuma bila kuuliza matumizi.
Fungukeni.
karanga za diamond zimesababisha karanga nyingine huku mtaani zisinunuliwe kabisa
tena mbaya zaidi kuna wengine walikuwa wanategemea kupika karanga ili waendeshe maisha yao,,ujio wa diamond...
Daah aisee miaka ya nyuma kuanzia 2015 kurudi nyuma kabla mzee yusuph hajaacha kuimba ilikuwa raha sana.
Nilikuwa sikosi show za jahazi .Na kilichokuwa kinanivutia ni wale mashangingi aisee...
Habari mabibi na mabwana !!
Nimekuwa single kwa muda mrefu kwa sasa nimeona ni vyema kama nikapata mtu wa karibu wa kuweza kushare mambo mbalimbali. Hivyo naomba kama kuna mwanamke aliye single...
@masoudkipanya: Ng'ombe wa nyuma huchapwa Kwa sababu tu yuko karibu na mchungaji lakini anayechelewesha msafara ni Ng'ombe wa mbele.
m.twitter.com/masoudki...
Sent using Jamii Forums mobile app
Amchimba mkwara mzito juu ya mazoezi yanayoendelea kati ya Marekani na Korea kusini kama maandalizi ya kuipiga Pyongyang
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna wakati mwanaume anakuwa na furaha kama wakati anapo ambiwa na mwanamke:
*"kafunge mlango kwanza!"*
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]♂♂♂
Sent using Jamii Forums mobile app
*Mzee alienda kanisani kubatizwa alipotoka kwenye maji padri akamwambia “Sasa wewe ni kiumbe kipya,usinywe tena pombe na utaitwa Paul”. Alipofika nyumbani Paul akafungua friji akatoa bia ya Tusker...
Hii kazi ni ngumu sana ya kucheza pale mbele jukwaani ,,kati ya kazi hii ni kiboko,,,kwenye bar naona wanaweka bendi halaf wadada wanakatika kweli,najiuliza hawajaona kazi zingine au ndio hawataki...
Habarini wapenzi Wa chitchat!
Leo tunayofuraha ilioje kumu host member mwenye mvuto Wa maneno Na lafudhi madam mwajuma.
Tunakumbushana kuwa lengo ni kujifunza burudani Na nk
Tunahimiza nidhamu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.