Kijana mmoja alikuwa anapenda sana kutazama picha za ngono. Siku moja wakati anatizama alisahau kufunga mlango kama kawaida yake... Mara kwa ghafla mamake akaingia chumbani. Katika kujitetea...
*Jamani ivi nani enaelewa jinsi ya kukopa hela kwenye Power Bank*[emoji85]
[emoji27][emoji27][emoji27][emoji27][emoji27][emoji27]hali sio hali jaman
Sent using Jamii Forums mobile app
Mara pap magufuli anaisifu ngoma ya WCB-zilipendwa tofauti na Ally Hapia alivyomsifu wajina Wake Alli kiba team kiba watapasuka cjui!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kutembea na wasichana wengi ni mbinu mpya ambayo inaweza kumlinda mwanamke wako unayempenda zaidi asivamiwe na maadui zako..
Ingawaje n ngumu kwa mwanamke kuelewa hii mbinu.. atabaki amekununua...
kama wewe kidume unapiga, puchu, master b, punyeto, pully, unajisugua, unajichua, na staili nyingne zote za dizain iyo...
basi tambua kwamba hauna tofauti na mwanamke anayetoa mimba
ebu vuta...
Habari viongozi,
Jana nilikuwa na mishe za town chapu.
Nilikuwa naelekea Bank moja ivi mjini, nikashukia pale maeneo ya ngozi nikaikamata ofisi yao fasta.
Nikakamilisha harakati zangu...
Habarini wadau
Katika hospitali moja ya vichaa daktari anaehusika hapo alipokuwa katika mizunguko yake kuhudumia wodi za machizi, chizi mmoja alichomoka kutoka chumba kimoja ameshikilia kisu...
Duniani raha sana , mwanamke akikupenda raha sana, hasa akiwa na pesa na kazi nzuri.
Unakula beers, unakula maisha mjini, ananuka kila kitu kiroho safi, maisha yanasogea. Sasahivi tuna watoto 2...
Mtu akifa...Mimi nikifa...Mbitiyaza akifa...Troy akifa...Shune akifa...Mwanakijiji akifa...Muosha Rungu akifa...Miss natafuta akifa...Lady Jay akifa...Nifa siku ya kufa yake...Mshana siku ya kufa...
Habari
Wengi wanapenda kuwa karibu na wazazi wao na wengine huona taabu pindi wawapo mbali na
wazazi wao hususani daddy ambaye ni gurudumu la famiilia tena ni msingi wa familia kama
hayuko baba...
Ukistaajabu ya Musa ujue wewe mbadoo ujaona ya FIRA na UHUNI...!
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125] hatari sana
Street teacher
Wakuu.Sijui ni uhenga umewadia. Sijui ni stress au TBL wameongeza ukali.
Siku hizi nikinywa tu bia 10 Castle Lager ,nalewa mbaya sana mpk watu wananishangaa. Mpk Kuna wakati nashindwa kudrive...
kuna kiingilio???
bei ya msosi per head ipoje kwa anaejua
kufanya birthday party hua wanacharge kiasi gani?
niliwapigia namba zao hazipatikani.
msaada plz.
MUACHE AENDE
mapenz yana nafasi yake lakini mapenz si kila kitu katika maisha, kumpenda mtu asie kupenda nikujisumbua na kujiumiza bule kwa kujisababishia maumivu na mateso yasiyo kuwa ya lazima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.