Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 19,472
- 25,401
Wakuu mimi nimecheza gemu nyiingi sana hizi za PC ingawaje kwa miaka ya hivi karibuni nimesitisha kidogo ila hakuna gemu ambalo nalikubali sana kama Motor Kombat 4 aisee hili gemu haliishi hamu kwa kweli
Tena isitoshe enzi hizo linatoka toka teknolojia ilikuwa haijasambaaa kivile so ulikuwa ukipiga FATALITIES unaonekana bonge la mjanja aisee tena kama sikosei fatality ya kwanza kabisa kuijua ilikuwa ya Raiden ile ya fimbo
Enzi hizo mtu unacheza kwenye vibanda umiza kwa kuwa ukicheza peke yako nyumbani hainogi sawa na kuangalia mpira peke yako nyumbani
Fatality ya pili kuijua ilikuwa ya reptile kuna sehemu ulikuwa una sett then unabonyeza button ya direction ya juu anafanya yake
Fatality ya 3 kuijua ilikuwa ya liu kang ,fan fatality
Baadaye ikaja ufundi mwingine wa kumchezesha shinnok kama goro
Hapa ndio nilizidi kuonekana fundi
Pia mbali na goro other hidden characters ambao ilikuwa ngumu sana kujulikana na watu ni Noob saibot ambaye anasimama badala ya Reiko
Kitana ambaye anasimama badala ya Tanya
Yani kwa kifupi Motor Kombat 4 ni very interesting game ever kwenye hii dunia
Kuna cheat fulani hivi ilikuwa ukiset inakuwa mtu akikupiga damu zinaisha kwake mwenyewe
Yaan daaah kama wewe ni mpenzi wa Arcade game na hujacheza MK4 kajinyonge tuuuu.