JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nishawai toka kyela hadi Mbeya na Manzi na sikumsemesha neno lolote!! Alinikuta nimekaa hakusalimia nikasema wacha niupokee huu mpira kama ulivyokuja!! Ama nilizingua? BRAZA CHOGO Nikifa...
13 Reactions
44 Replies
2K Views
Wandugu kama mjuavyo wengi wetu tumesoma shule za st. Kayumba kwa hiyo Ngeli ni ishu kwetu. Basi kwa kuunga unga hivyo hivyo nikachaguliwa Chuo (UDSM) sasa kufika huko si ndo mambo ya Seminar za...
41 Reactions
404 Replies
66K Views
Dakika chache kuanzia Sasa ID hii ya ndege JOHN Inafungwa rasmi Tukio la ku log out na kufuta app ya Jf nilitaka nilifanye Jana Ila mambo yakawa mengi baada ya pigo la gwajima kuingilia safari...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Kama ilivyo sentesi ndefu, haikosi kuwa na koma. Nami leo naomba niweke koma kwa utumiaji wangu wa JF. Kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu, ninasikitika kuwataarifu wote kuwa tangu leo...
5 Reactions
104 Replies
9K Views
3 Reactions
2 Replies
242 Views
Simulizi hizi unaweza kuzisoma Bure ndani ya app ya Maktaba Sauti. Ipo Playstore. Huyu mzungu alizaliwa huko New Zealand. Baadaye akaja kuishi kwenye mapori ya mto Rufiji akiwa muwindaji. Majina...
2 Reactions
14 Replies
821 Views
Niny maisha magumu hela haikai ase hadi roho inauma
9 Reactions
79 Replies
2K Views
Ikitokea katika chumba/Nyumba yako zikafungwa CCTV Camera, ni mambo gani utakayopunguza kuyafanya?
7 Reactions
183 Replies
4K Views
Kutuamsha salama Kutufikisha kazini salama Na kumwamsha huyu anaesoma hapa salama Utusaidie turudi salama na tukumbuke kutoa shukran kwako kila iitwapo Leo Kama waamini sema amen
2 Reactions
3 Replies
191 Views
Basi kama na nyie pia mnaitaka Mimba aliyopewa Namungo jana vuteni subira mtakuja kupewa / kujazwa 8/3/2025 Ok?
0 Reactions
1 Replies
279 Views
Ana Kipaji cha hali ya juu mno cha Uchekeshaji na pia ni Mbunifu mno. Apigiwe Kura nyingi ili aweze kuibuka Mshindi Ok?
3 Reactions
5 Replies
595 Views
Kausiku kameingia, njooni tuzogoe. Mpo humu wanaume ambao mnapenda muachiwe mbususu zikiwa na minywele imetaradadi, wakinyoa mnakasirika mfano mzuri huyu hapa "Mwanamke kunyoa sehemu za Siri bila...
8 Reactions
95 Replies
2K Views
1. Mara 2. Arusha 3. Mwanza 4. Geita 5. Shinyanga 6. Mbeya 7. Rukwa 8. Katavi 9. Songwe 10. Iringa
14 Reactions
140 Replies
4K Views
Nimeenda kununua hizi Mali ,nikaingia nazo kwenye dalala aisee Nikasikia wanaanza kusali🤣🤣😂😅😆 Kisha wakamwambia konda anishushe,eti Mimi sio mtu WA kawaida Jamani weusi wenzangu acheni ushamba...
1 Reactions
11 Replies
979 Views
Kuna watu unakuta wanaulizia ID flani za JF baada ya kutoonekana kwa muda. Kuna watu hupata ushauri ambao unawaondoa kabisa kwenye hali waliokua nayo. Kuna watu husema wamekua addicted na JF...
21 Reactions
155 Replies
5K Views
Hakika imeenda vizuri sana na nimefurahia 😊. Kwako imeendaje hii siku?
15 Reactions
153 Replies
3K Views
Sina hakika kama ni Afrika nzima au Mtanzania tu. Wengi wao akikupigia simu baada ya kupokea simu yake na akagundua kuwa haukuwa mlengwa, basi hukata simu ghafla bila maelezo yeyote. Huwa kuna...
3 Reactions
13 Replies
632 Views
Nakumbuka ile nimemaliza tu form four nikasema hapa sibaki home nasepa zangu porini kupiga mishe za kuchana magogo,kusomba mbao na kupakia kwenye magari.Basi time ilivofika kuna jamaa nilisoma...
19 Reactions
58 Replies
3K Views
Habari wakuu Natumaini wote tulisoma kwenye zile shule zetu mambo mbali mbali, ikiwemo mambo ya kuzingatia katika uanzishaji wa kiwanda. Inawezekana yale tuliyoyasoma shule, tumeyaacha kule kule...
4 Reactions
37 Replies
1K Views
Mimi ni wanangu wa kiume, hua wanaamka asubuhi na kuweka wali kwenye rice cooker kwa sababu wakila vitafunio kama mikate hawashibi. Wanaanza na chai na kitafunio kama starter, halafu wanakula...
10 Reactions
84 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…