Miaka ya nyuma na fikiri hadi sasa
Wazazi walipendelea kuwapa watoto wao majina mawili.
Moja halisi katika vyeti likitumika hadi shuleni mfano GERVAS jina hili unakuta liltajulikana shuleni tu...
Nilikua natuma picha zangu kawaida tu, na zinaonesha kabisa mimi ni mwanaume ila kilichonitokea ikabidi nifute account, pia nikajifunza Kenya kuna watu mafilauni wa waziwazi.
Yani mtu anakutumia...
Wanaume tukutane hapa tujadiliane.
Mara nyingi wanaume ndio wamekuwa mstari wa mbele kutoa zawadi kwa wanawake.
Lakini ukweli ni kwamb hata wewe unaesoma uzi huu wala haujawahi pewa yamkini...
Nasikia deni la taifa limefikia tsh. Tilion 97.35 nataka nielekezwe utaratibu wa kulipa deni lote kwa raia wa kawaida, nikiwa mzalendo kwa nchi yetu nahitaji kuilipia serikali yetu ili kuongeza...
Habari za muda huu Wana JF
Leo katika kukaazangu bila ya kazi nikamua bana kumcheki mpenzi wangu nakumuelezea Hali ya afya yangu ili kumpima atanichukuliaje?
Chatting zikawa kama hivi...
Utakasikia:
"Masela nina koneksheni ya vidio ikionesha mababu wa Simba wakiwa na mbuzi ndani ya basi sema niliifuta bahati mbaya"
"Dah mechi ya Arsenal juzi imenikosesha mkeka wa milioni 20"...
Wakuu habari za kulala.
Leo nitatoa siri ambayo wengi imekuwa inawapa shida ya kuwapelekea kusumbuka kukwaruza vocha zao kabla ya kuzijaza tena wakiwa wamezilipia.
Mimi nitakuelezeni leo jinsi...
Natamani kuwa na huyu mwanaume kwenye siku ya valentine day,aniambie popote alipo ntamfata kwa gharama zangu,ananikosha sana nyonga zangu,simmalizi nikimfikiria, niitieni anitoe hamu nataka...
Habari wanaJF,
Leo tunakuja na mchezo mpya unaoitwa “Niongezee Sentensi” – huu ni mchezo wa fikra, ubunifu na mantiki, ambao wa mwisho kabisa tutamtumia mkono wa pongezi. Unaburudisha, unachokoza...
Kudadadadeki!
Tumetoka mbali mangi tangu enzi zileeeeeee.... unaogeshwa live....
Mpaka yaani shheenzy zakoooo ukapitia matatizo makubwa sana.... dingi yako alikuwa mmmbaayyyaaaa!!
Nakumbuka...
Inakuwaje wakuu
Naanza na mimi simu yangu ya gharama ambayo ndio hii nayotumia nilinunua 255k mwaka 2021
Nachoinjoy inakaa sana na chaji, imeniwezesha kuingia mtandaoni na kuchota madini mengi...
Mfano Ray vanny ni kijana wa kuigwa kulingana na mafanikio yake lakini very humble hata ukimuangalia na Izo bnes mtakubaliana na mimi. Msinitukane plz ni maoni yangu tuu.
Wakuu Leo ni ni siku ya Kuzaliwa ADRIAN HILLARY STEPP aliekuwa EATv ambae sasa yupo AZAM Tv two.
Hope mnajua ni mdau wetu.
Chanzo cha Habari ni AZAM Two na mtoa habari ni yeye mwenyewe kwa...
Ni ng'ombe jike katika familia fulani...huyu ng'ombe alikuwa anakamuliwa maziwa na kuleta riziki kwenye hiyo familia.
Mtoto wa kwanza mpaka wa mwisho kwenye hiyo familia alikuzwa na maziwa ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.