Inasemwa kuwa “wewe ni kile unachokula” kwa kumaanisha kuwa mwonekano wetu na afya ya mwili na akili unajengwa na chakula tunachokula. Madhara ya chakula chetu tunachotumia yako pia katika ngozi...
Habari za majukumu,
Pamoja na mada nzuri na taarifa mbalimbali zinazotolewa hapa JF, wakati mwingine najikuta nacheka mwenyewe kwa baadhi ya ID/Username zanazotumiwa na baadhi ya members.
Japo...
Hili ni baada ya kuwafahamu kina amosi wengi sana nilio kutana nao katika maisha yangu ya kawaida , nadhan ndugu msomaji hebu na wewe wakumbuke kina amosi ulio kutana nao kwenye maisha yako kisha...
Mshahara bado haujaingia, akaunti hazisomi ila ni uhakika kuwa Yesu anafufuka keshokutwa na tutasherehekea. Unamjibu vipi boyfriend au girlfriend wako akikuomba hela weekend hii?
Hodi hodi JF
Wakongwe tumeamua kurudi JF, vitoto vya 2000's mtupishe.
Ngoja niifufue na ID yangu ya wakati JF inaitwa Jambo forum.
Uzi tayari toka kwa wazee wenu wa JF. 😀😀😀😀
Kwa mchango wa Wasanii wetu katika ushindi wa Chama. Jux alistahili Boeing 787 impeleke pamoja na Wasanii wote Lagos achukue jiko na kumrudisha nchini. Pia ubalozi wetu Abuja ilipaswa kushiriki...
Hii huwa inajirudia rudia sana kichwani kwanini mzee yule aliwakataza vijana wake wasinipige na akateua wawili wale wakubwa wanipeleke na wa hakikishe nimefika salama salimini bila kupigwa...
Bandugu bado nauguza maumivu, njooni tujiburudishe na kazoezi haka nilikokawaza asubuhi hii.
Niambie mambo matatu - mawili ya ukweli na moja la uongo yaliyotokea kwako kwa mwaka 2025 na mimi...
1. Kula ugali kwenye sufuria. Badala ya kuweka kwenye sahani usipakue kula palepale dona lako likiwa la moto.
2. Kunywa maji kwenye glass. Unaposikia kiu ukanunua maji yako ebu usinywe kwenye...
Some timez ilimradi haiumizi hesabu, afya au status yako ... Fanya maamuzi ya kuushtua moyo wako kwa furaha ... utakuja kujishukuru siku unakufa .....
Sababu Kama mwanadamu unahitaji pia Mambo...
Muwe mna vi prone basi...visichachamae sana vinatutisha mnakuwa kama Alshabaab au Boko Haram..
Hongera zenu mnaojua kuvisawazisha vizuri halafu vinywele viwe na texture ngumu hakika mnaupiga...
Nadhani wengi mnakumbuka sakata la Niffer…
Majibu ya ChatGPT ni haya..
[Why are older people jealous of sucessful young people?]
===============
Wivu dhidi ya vijana waliofanikiwa unaweza...
Mwenyezumungu hawezi kumpa kila mja na pia kuna binaadamu wenye uhitaji maalum. Kutokana na hilo ndio maana kuna omba omba katika jamii zetu na kwingineko duniani.
Ukiacha hawa omba omba...
Mzuka wanaJF,
Tulikuwa na katabia fulani na marafiki zangu kuandika maandishi kwenye vioo vya magari yaliyochafuka na vumbi.
Sasa kuna siku gari la TANAPA lilipaki kitaa yani limechafuka na...
Aisee labda niwe nimelewa ila kulala mchana big NO cha kushangaza sasa kuna watu wanasinzia daily mchana yaani mnafika job asubuhi tu mtu saa 3 anaanza kuegesha saa 7 anaegesha na sio kwamba...
Ukweli ndo upo hivyo mkiwa ofisini au kwenye duka au popote unapopatia maokoto mkiwa na boss mjanja, akiishiwa anaumiza akili mfanye nini mpite wapi mpate pesa.
Ila mkiwa na mkuu ambaye mkoloni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.