JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mimi nimetenga 150, inatosha kabisa kwa vurugu zangu. Hapa hakuna pombe yoyote itakayohusika. Haitoshi tu kua handsome, lazima pia uwe na mavumba kidogo.
3 Reactions
12 Replies
352 Views
Gen Z njooni tubadilishane mawazo na uzoefu. Vipi wewe unafanya mishe gani? maisha yanakupiga au umeyapatia? Kama umeyapatia, tufundishe njia zako na sisi tutembee humo. Humu JF naona GenZ...
8 Reactions
93 Replies
2K Views
Ndiyo maana wengi huwaoni jukwaani. Vijana utuuzima unamajukumu mengi saana. Unataka kulog-in JF mke anahitaji cuddling, watoto wanachezea simu yako kazini labda kwasababu ya umri wewe ndiye boss...
17 Reactions
61 Replies
1K Views
Shule tulizosoma zilikuwa na sheria na kanuni zake Binafsi shule niliyosoma pamoja nilikuwa mwanafunzi mtiifu ila sheria zifuatazo zilinishinda 1. Kufika shule siku ya kufungua shule Hapa...
9 Reactions
80 Replies
2K Views
Wadau hamjamboni nyote? Je ni kweli watu wa kigoma wanaoongoza kusafiri kwao wakiwa wamebeba mikate mikubwa? Sababu ni zipi hasa? Ni tetesi tunaomba uthibitisho
3 Reactions
5 Replies
311 Views
Wadau hamjamboni nyote? Niwakumbushe vituo mbalimbali kwa wanaJF mnaosafiri kwa njia ya mabasi kwenda kanda pendwa ya ziwa Morogoro, Dodoma,Manyoni, Singida, Shelui , Igunga, Nzega, Tinde...
2 Reactions
0 Replies
209 Views
Katika mazingira gani? Mi nilipataga trafiki mmoja Kibaha pale Maili moja. Alinikamata kwenye ile zebra crossing. Nikalipa faini kiroho safi halafu nikampa business card yangu. Ndiyo ikawa hivyo.
8 Reactions
124 Replies
24K Views
Chochote chenye mwanzo huwa kina mwisho. Na wewe kama ulizaliwa, hutofikisha miaka 100 ya kuishi hapa duniani. Ni muhimu kufahamu ya kuwa, na wewe una mwisho wako. Kwa upande wangu, baada ya...
5 Reactions
7 Replies
358 Views
Ni kweli hainihusu kabisa lakini lazima uambiwe ukweli bana. Mwanaume unatakiwa uwe tofauti na jinsia ya kike bana. Mods ni Vyema na haki sasa mkawaorodhesha watu wenye I'd zaidi ya moja maana...
2 Reactions
11 Replies
481 Views
Ngudu wa jamii habari zenu. nimeanza ufugaji wa paka nilianza na paka majike manne na dume moja sasa hv nina paka takribani mia hamsini na natarajia ikifika mwezi wa sita nitaweza kufikisha paka...
4 Reactions
124 Replies
25K Views
Baada ya kujichangachanga kama laki 2 na nusu, nikapanga niende pangani tanga kumsaka mtaalamu (mganga wa kienyeji) kwaajili ya tiba ya maradhi yaliokuwa yakinisumbua pamoja na kuweka mambo yangu...
1 Reactions
15 Replies
931 Views
Mama kashacheka uko angalia NMB 😂
13 Reactions
170 Replies
8K Views
Tangu Jumamosi nilidhani wangelipwa, lakini hadi leo kimya. Isije kuwa wameshalipwa wakaamua kunyamaza. Biashara imekuwa ngumu jamani—wadeni wangu, kama mmepokea malipo, tafadhali msinisahau.
6 Reactions
27 Replies
1K Views
Hello everyone 👋 Sorry for the late info… But after deep thinking and unstoppable pressure from society — finally, my big day is here. We’ve come a long way together in this forum, so I had to...
7 Reactions
18 Replies
608 Views
Najiombea mafanikio mengi zaidi katika maisha yangu. 🙏
14 Reactions
71 Replies
1K Views
Happy birthday Darling. I'm not good in writing sorry for this. To me wewe ni special gift and I always thanks God to have you🥰🥰. You know how much I love you. Mungu akupe maisha Marefu My...
4 Reactions
26 Replies
1K Views
Uliza swali lolote kuhusiana na kitu chochote na JF member mwenye ufahamu atakupa jibu sahihi. ~ Dar Joto Sana ~
16 Reactions
601 Replies
15K Views
Kwema wakuu. Huu ni Uzi maalumu kwa ajili ya bar zenye wahudumu wazuri nchini Tanzania. Weka la bar, mtaa ilipo, wilaya na mkoa. Naanza Mimi : ONE POINT ipo Chanika wilaya ya Ilala jijini Dar...
8 Reactions
72 Replies
4K Views
for educational purposes and enjoyment ... Heb tutiririke jumbe ambazo kwako wewe huwa ni za kifala as per your perceptions. Tukiziona tujirekebishe ili tusionekane mazutwa kwa watu. Mimi mtu...
9 Reactions
90 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…