Naamini kila mtu ana ndoto, malengo, mipango na maono ya maisha yake.
Kwako, ni vitu gani ukivipata maishani vitakufanya ufurahi, uridhike na kusema kweli ndoto au malengo yako yametimia.
Utangulizi:
Kwa Minajili ya Usiri/ confidentiality sitamtaja moja kwa moja mzee huyu aliyeishi Mkoa mmoja wa Kaskazini.
Alifariki akiwa na miaka 104
Alikuwa na wake watano, waazuri wenye shape...
Nimekutafuta kwa muda mrefu, sijafanikiwa kukupata!! Naamini kabisa utakuwa member hapa JF.. and this is the only way for me to confess and let you to know the truth!! I got ur number kupitia...
Kwanza napenda niwapongeze 'Startimes' kwa kuiondosha kabisa chaneli namba 322 kwenye king'amuzi chao ambayo ilifahamika kwa St SA Music na kubadilishwa kusomeka St Kasi Music.
Chaneli hii...
Kama hali iko hivi wanawake ni hateri, kanisa karibia nusu ya wanawake wamesha tumukishwa na wanaume zaidi ya 100, na wa onea huruma wanao tafuta wanawake wa kuoa makanisani.
Loh angalia hi vidio
Kwema wakuu
Mambo gani ambayo ni muhimu kuyafanya kila siku? kwa ustawi wa maisha bora; kiafya, kiuchumi, kijamii na kifamilia
Waweza kushare maoni yako hapo chini ni bure kabisa haulipii!
Ikiwa ni ruhusa labda mtu awe na kibali ,ni urahisi upi uliopo wa kupata kibali ?
Kuna nchi hizi za dunia ya tatu wananchi wanabeba silaha,hapo Somali ni kawaida kumkuta mtu ana kifaru nje ya...
Wanaowiwa na kuamka alfajiri! Hii ni club ya wanaotoka asubuhi kwenda kuchakarika na pia wanaoamka mapema kama sehemu ya kuweka mwili fiti (mazoezi) au kufanya siku iwe bora.
Kama we ni mpenzi wa...
Heshima mbele, kwema bandungu
Hili onesho la wanaume na wanawake kutafuta wapenzi/wenza kwenye show lina uhalisia au ukweli? ama ni maigizo ili kupata kipindi cha kuuza kwenye TVs?
Habari za muda huu wanadau wa JamiiAfrica? Juzi kati nilikutana na wazee wawili njiani,wakipeana ushauri wa jinsi ya kutumia hela anayoipata kwenye shughuli zake,kilichonishangaza ni pale mmoja...
Kuna mambo yanashangaza .
Wakati naishi uswahilini , nilipanga Eneo moja ndani ya chumba kulitokea panya ambao hawakujulikan wanatoka wapi.
Ila story ilipo ni hii hao panya walikuwa wadogo...
Leo ukipewa chakula chako pendwa au mtu akikukumbuka na Tsh. 100, 000, siku yako itakuwa safi eeh?
Mimi nikipata Kitimoto choma ya mbavu na Mocktail moja safi nitaanza weekend mwepesi kabisa...
Wakuu,
Mkeka Wa Vitu Ambavyo havikuwepo kabisa Duniani Mwaka 2003. Maisha Yako Spidi Sana.
Hichi Kizazi Cha Miaka ya 2000+ Ni Nyoko. Malezi Yao yanahitaji Moyo wa Chuma. Tupambane Hamna Namna...