JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mimi baada ya kumaliza chuo, nikawa niko nyumbani tu sina mishe.. Yani kifupi choka mbaya hata hela ya vocha wakati mwingine nakosa. Basi bwana, siku moja nimepanga miadi na binti wa mtaa wa...
11 Reactions
14 Replies
904 Views
Amani iwe kwenu , Upweke unaweza kuwa wa thamani kuliko kuwa na watu wasio wa kweli maishani mwako. Ukiondoa vicheko vya kinafiki,salamu za masharti,na urafiki wa muda mfupi.upweke sio mbaya...
5 Reactions
11 Replies
464 Views
Nina ukame wa like hata nikiandika mapoint watu wanapita kushoto. Cha kushangaza utaona mtu anakoment neno moja tu 'Du" zinamiminika, acheni ubaguzi.
34 Reactions
45 Replies
2K Views
Nipeni hata malike nusu karne, Asante MUNGU .
71 Reactions
128 Replies
6K Views
Ni kweli watu wafupi huwa ni wabishi ?
3 Reactions
10 Replies
452 Views
JAMANI HIVI WANAWAKE NAO HUWA WANASAHAU VITU VIDOGO VIDOGO KAMA SISI WANAUME? Mimi kuna muda nasahau kupiga maswaki,nasahau kufunga zipu ya suruali au kifungo cha shati,nasahau kabisa kuchana...
5 Reactions
14 Replies
529 Views
Nikiwa 'O' Level nazikumbuka chata hizi: 1. Remember Kidiru 2. Akajesus 3. Chid 'B' Chid Boy 4. Mwakubombaki 'wagambo wanaruka' 5. Simple 'F' 6. Watengwa 7. Remember Maguhu Jr. 8. Mseminari 9...
6 Reactions
35 Replies
1K Views
Sio Kila mtu ana kumbukumbu nzuri za utoto wake. Wengine tumepitia life gum Sana utotoni. lakini hata hivyo hatukosi Jambo la kutufurahisha Kila tukumbukapo maisha ya utoto tukiwa shule. Jambo...
7 Reactions
69 Replies
2K Views
Nakumbuka enzi hizo hicho kitabu kilikua Cha kujifunza kusoma Sadiki na chitemo[emoji4] Darasa la tatu shairi la" karudi baba mmoja" lilikua matata Sana. Tulikata dumu na kutengeneza...
8 Reactions
117 Replies
14K Views
1. Member wengi wa JF wanamiliki ID zaidi ya moja 2. Member wengi wa JF walianza kuwa visitor kabla ya kujiunga 3. Member wengi wa JF hupenda kushinda jukwaa la siasa, jukwaa la mapenzi na...
16 Reactions
130 Replies
5K Views
Mwezi wa sita ndio uhu mwezi wa production single ndio tuna pata shida na maduveti 😔 usiku mkubwa
5 Reactions
45 Replies
854 Views
0 Reactions
0 Replies
132 Views
Jomba relax... manzi ako tuko nae hapa Dom kwenye mkutano mkuu wa chama pendwa CCM. Ni mgeni mwalikwa kwenye huu mkutano. Si unaona wasanii kibao wamekuja kuhudhuria? Hata wewe ungepata mwaliko...
10 Reactions
19 Replies
1K Views
Shalom jukwaa! Nilipokuwa mwanfunzi nilikuwa nina tabia ya kutofika shuleni kwa sababu nilikuwa sipendi shule kuliko kitu chochote kwa kipindi kile lakini wazazi walikuwa wananilazimisha kwenda...
36 Reactions
172 Replies
4K Views
Leo ndo ninemegundua Tatizo langu kubwa ni kutopenda kumpa mtu pesa. Nimeombwa pesa ya Kununulia umeme nikamwambia Tuma miter namba, kilichofuata mtu kaka kimya hajibu sms Wala simu Hapokei. Baada...
13 Reactions
42 Replies
2K Views
Baada ya mbunge Taiduna kuwaita Watanganyika " kenge" wa ndani. Wacha tujadili tabia za kenge, usikute kweli sisi Watanganyika ni kenge 1. Kenge ni kiumbe kinapenda kujifananisha na mamba. Hapa...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Hivi hawa wanyama wamewakosea nini binadamu kunasibishwa nao? Kwa nini isiwe tembo, simba au twiga? Watu wakiwa na makasiriko huita wenzao majina hayo kwa nini?
7 Reactions
23 Replies
717 Views
Kwema? Wana jf hamjambo? Kazi nyingine mabos... bosi kanipa kazi nipige skruu mbao kwenye dari dakika mbili namuaona yuko chini ananiangalia anaoana nafaidi sana. Udenda tiriri anataka kazi...
3 Reactions
40 Replies
1K Views
Should long-term partners know each others' phone passwords? (Je, wapenzi wa muda mrefu wanafaa kujua nywila za simu za kila mmoja?) --- Chaguo lako ni lipi. Weka comment na eleza kwanini? 1...
3 Reactions
16 Replies
544 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…