Sitasahau siku nimelala guest moja mitaa ya mwananyamala (ya bei rahisi) na mtoto mmoja mkali ila wa uswahilini ili kujilia tunda ile nimeingia naanza kuandaa mazingira kumbe kuna wajomba (wazee...
1. Uko unatembea zako au unafanya jogging ukapishana na mtu anafanya mazoezi ila hiyo harufu ya jasho inayotoka unayokutana nayo wakati mnapishana!...sijui kuna ambao hawafui nguo baada ya mazoezi...
Kwaio Dar hakuna pisi Kali🧐🧐🧐
Hii ni wiki ya pili sasa nipo hapa jijinina sijaona uhalisia WA dar wanayoisimuliaga kwenye stori🤣🤣
Nyie pisi Kali za dar mpo wapi??🧐🧐
Wiki inakata wakuu bila hata...
Kutokana na hali ya kiuchumi kunigonga, nimejikuta nawaza namna ya kuzigeuza hizi 'likes' nilizonazo humu jf ziwe pesa.
Nitumie njia gani ili nizigeuze kuwa hela wakuu?
Kama haziwezi kugeuka...
Sisi kama binadamu kuna vitu vingi tunapitia nakuwa na uzoefu katika vitu hivyo!, Navyo hutupelekea kubadilisha njia ama mtazamo juu ya kitu fulani je, wewe ni vitu gani hivyo vilikufanya ubadili...
Jamani mkisikia mtu anaharisha mpaka utumbo msishangae.
Jana sijui nilikunywa bia ambayo imeharibika au sijui ni nini kilitokea.
Ila nimeharisha mpaka nikahisi utumbo utatoka.
Natangaza rasmi...
Dada yangu ukikutana na mwanaume amevaa kofia kama hii, kaa naye mbali.
Watu wanaovaa kofia hizi, kila mwanasiasa maarufu alisoma naye shule moja Tosamaganga au Galanosi, ukimkopesa pesa ndio...
Maisha Yana story ndefu,
Nilipenda kusoma science, sema nilikutana na matopic magumu sikuchelewa kukimbia.
Kwanza namlaumu huyo aliyetunga topic ya maths ya LOGARITHMS 😅 Aisee hili jiwe me...
Wasalam wakuu.
Katika hali ya kushtukiza na kuchanganya leo hii nimekuta application ya jf kwa simu ya mama..
I don't know ni nani kamwekea hii application au imekuaje kuaje.
Nimeshindwa hata...
Uongo upi unausikia mara kwa mara? au umesikia mwanamke au mwanaume anaambiwa au amekuambia.
CC:
uzuri_hatujuani
Castle_Lite
secretarybird
50thebe
Poor Brain
Khanji kapoor
Wakuu, Kwanini unatumia mtandao wa simu Ulio nao sasa? Ni criteria zipi zilikufanya Uchague namba ya simu ya mtandao fulani kama namba yako kuu?
Je incase ume attain Popularity una handle vipi...
Asalaam Wakuu,, moja kwa moja Uzi tayari
Tujikumbushe Ubabe na Uhuni wa Zamani Mashuleni,,Taja Watu walio Vuma na kutikisa kwa Majina, Miaka hiyo Ukiwa Skuli