Ni kinywaji kutoka south 🌍 basi ndoo imekuwa hbr ya mjini hapa jiji dodoma kwani bila kumunulia mwanamke hicho kinywaji unaweza kukuacha na kutafuta danga jipya mwenye uwezo thabiti na madhubuti...
😄 "Miaka 60+ ya uhuru bado tunajadili barabara, maji na umeme, halafu wewe una miaka hiyo hiyo 60+ unalalama tu😈😈. Basi tuambie, kati ya Taifa na tumbo lako, nani aliyefanya uzembe? Au ulikuwa...
Kwema wakuu, natumaini siku imekuwa poa kwenu.
Alright, tiririka ni harufu (scent/smell) ya kitu gani unaipenda zaidi?
Copy to:
secretarybird | Binti Sayuni03
To yeye | Joanah | dosho12
Lax |...
Kwanza niwasalimie ,shikamooni
Wadogo zangu,marhaba.
Jamani ,nimewamiss Sana,Maria miye,nishaanza kuzoea huu mtandao, nilichogundua,huku ni wachache na ni rahisi watu kuchat kama familia,
Namiss...
Israeli huwa hawabahatishi katika Target zao Kudadadeki. Sasa kama huyo Mtangazaji Mwanamama wa Televisheni ya Taifa Iran alikuwa anajifanya Kutangaza kwa Kujiamini na Kutoogopa nini kilimfanya...
Natamani nami siku moja niweze kuhudhuria kikao cha G7, imekuwa ni ndoto yangu ya siku nyingi sana tangu nikiwa mdogo; sasa sijui itabaki kuwa ndoto tu au ipo siku nami nitashiriki?
Wananzengo...
Shalom wakuu.
5. Tottenham
Imemaliza mkiani EPL(17), ila inastahili baada ya kutwaa Europa hivyo kuingia UCL.
4. Liverpool
The Reds msimu huu wametwaa EPL, walikua bora sana kabla ya kupoteana...
Katika pita pita zangu nimekutana na mdada mmoja yupo London kaniambia kanielewa na ana zawadi anataka anitumie hivo muhuni kutokana na matukio nimekutana nayo nikaona nimtajie jina lisilo langu...
Heshima mbele GTs
Kati ya jumapili, jumatatu, jumanne, jumatano, alhamisi, Ijumaa, na jumamosi, ni siku ipi/zipi unaipenda katika wiki? kwanini?
~ Nomadix
Gundu ni...
Unaamka asubh huku ukiwa na heng over ya jana ucku😂😂
Unapasha maji kweny jiko la gec ili ukaoge,unayapeleka bafuni,unasahau kuyachanganya na yabard unajimwagia,,,unaungua unaanza...
Hivi kwanini pombe imekuwa overrated kama wachezaji wa Uingereza!!?
Naamini wengi wameingia kwenye ulevi kwa ajili ya kufata mkumbo. Na wengine kutokana na ile mentality iliyozoeleka kuwa kunywa...
Taja aina ya magari na jinsi utakavyoyatumia.
Kwa mfano:
1. La kwendea kazini!
2. La kwendea sokoni!
3. La kuwapelekea watoto shule!
4. La safari za mbali!
5. N.k.
Wakuu mimi sio mnywaji ila nimejihisi kufunuliwa nianze kurahaika na pombe haraka sana.
Kitaani kwetu huwa nawaona wanaokunywa pombe wengi wakionekana kujiamini sana na wengi ni watu wenye...
Uliwahi kufanya kituko gani ulipokunywa Pombe hutosahau?
Niliwahi kunywa na kuanza kuropoka kuwa siwezi kusema siri zangu na hizo siri nikawa nazitaja😁😁
Cc: holoholo
Nomadix