Hello,
Nadhani most of us have all been there, maybe nduguyo kakupa zawad ya million 5, au dili zimekubali ukashika mpunga mrefu, au job ndiyo umepokea mshahara wako wa kwanza au maybe umepata...
Haya twende kazi,
1. Hawa wa pua za hivi wanapenda kuangalia mambo yao. Hawasumbuliwi na mambo ya watu wengine.
2. Hawa wengi wao wana sifa za uaminifu na uvumilivu.
3. Hawa hawapendi...
Usimueleze mtu mipango yako kabla hujakamilisha kwa ground wachawi wengi japokuwa hawashiki tunguli
Watu wetu wa karibu ndo huwa wanatuharibia michongo yetu siku zote, usimuelezee yoyote kuhusu...
Wadau hamjambo?
Nimehamia huku panaitwa Zumba mabanzini mkoa wa Pwani, kwa ufupi unapo toka Dar panda magari pale Mbezi yanayokwenda Boko Mnemela ukifika Boko Mnemela kodi boda boda elfu 6 mpaka...
Huyu ni miongoni mwa member kijana ambaye alikuwa na mchango mkubwa katika mijadala mbalimbali Jf katika kujenga hoja za nguvu na michango chanya ya kuelimisha , ushauri na ukombozi wa kifikra...
Utotoni Mchezo wa mieleka unapendwa sana, tupia kumbukumbu yako ya styles mbalimbali ulizozipenda kutoka kwa wanamieleka mbalimbali, Mimi naanza na;
1. Tombstone Piledriver - The Under Taker...
Wakuu naomba tutambuane kwa code maalumu leo!
Achana na majina yako na vyeo vyako, em comment maneno unayoongea kila wakati ukiwa kazini kwako ili tukutambue unafanya kazi gani. Nasoma comment chini.
Leo ni tarehe 8 December hebu tuambie upo wapi kwa sasa mjini au kijijini! Kwanini upo hapo ulipo
Binafsi nipo mjini naendelea na shughuli zangu kama hamna kinachoendelea nchini wewe je?
Tunajua kipindi cha Desemba ndo kipindi cha kukusanyika na familia na kufurahi kwa pamoja kipindi hiki cha likizo. Lakini niwe mkweli natamani sana mwaka huu nisherekee mwenyewe au tutoke out na...
Eti mala yako ya mwisho wewe kuokota pesa lini na ulikota shingapi?
Na ushawai oupoteza pesa kiasi gani mpaka ukajilaumu sana
Mimi mara ya mwisho kuotoka pesa ilikuwa juzi shilingi 100 niliokota...
Changamoto kama hii ina uwezekano mkubwa sana kutokea na ikawa ya siku nzima hadi wiki kama ilivyokuwa Mo29.
Tushauriana vitu vya kudownload na machimbo yake.