Huu ni uzi huru ukiwa na wazo unaloona linafaa Kuwa wazo la siku tupia hapa. ..kijiweni
Mfano tuanze na
"Kadri unavyozidi kupanua ndivyo watu wananyozidi kutamani"
Kuna matukio nikikumbuka huwa najisikia vibaya, fedheha, pengine na kujicheka ndani yake. Kwamba ndio kujifunza huko. Wakati fulani nafanya kazi za video shooting nilishoot dicumentary ya dada...
Habari zenu wana JF, ni id gani ya member wa humu jamvini unayo ikubali zaidi? Mi binafsi nakubali iyi:
#Mtoto halali na Hela
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu mko salama humu?.
Baada ya kupitia changamoto nyingi za kimaisha,nikaamua kwenda kwa mganga kusafisha nyota.mganga hakua na mengi ya kunifanyia ,zaidi alinipa tu chumvi ya mawe akaniambia...
Nitaanza na hawa dosho12 Vincenzo Jr
Upande wa manzi kuna Carleen na leo dada
Hawa jamaa wapo active ila sijawah kuona wanafanya ukorofi humu.
Wataje wengine🫵
Kuna wakaka wastaarabuuu....yaani mpaka unasema mwenyewe enheeeh. .....huyu ndo mtu. Hata IDs zao tu unaona wapoleeeee. Na wakiandika wanaandika mambo ya maana mpaka unafurahia kuwa JF. wapole...
Ukikipenda kitu ni ugonjwa mbaya sana hutasikia la mnadi swala wala la muadhini ni full kudata... Huambiliki.... husikii... Hushikiki... Hukamatiki!!!
Ni sawa na ulevi wa bangi, ulevi wa Mpira...
Habari za wakati huu
Bila kuchelewa nimerudi kuWASHUKURU KWA MAWAZO NA MICHANGO YENU KWENYE POST YANGU YA MWISHO, NILIPATA MWANGA NA NIKIRI TU HUU MWEZI WA PILI UMEKUWA MZURI KWANGU, KWANI KILA...
Mshana Jr Kuna viumbe vitamu hadi uzeeni shauri yako.
UNAWEZA zeeka ukiwa na umbo lako
Binti wa zamani uongo
Mbaga Jr dronedrake
Wazee WA kubeti nyetukeni
Tuacheni maskhara asilimia 80 ya wana JF waliopo Dar hawakosi kufahamu si chini ya gesti 10(nyingine bubu) zilizopo dar na viunga vyake...wengine ni wateja mahiri na wengine wanajua vituko vyake...
Yupi kati yao hasa ungependa kukutana nae?
Ungepata nafasi ya kukutana nae ungemwambia nini kuhusu mtandao huu?
Nini kiboreshwe zaidi? Nini kipunguzwe?
====
Hakuna mwenye uwezo wa kuingilia...
Habari wanajamii,
Naomba kuuliza kwa heshima na busara kuhusu jambo linalonitatiza kidogo moyoni. Kumekuwa na hali ambapo mwanamke anakula chakula bila kumkaribisha mume wake mara kwa mara...
Huyu member kitambo sana sijamuona Jf alikuwa mcheshi na anatoa madini sana sasa sijui kimemkuta nini natamani kujua BICHWA KOMWE -
secretarybird alikuwaga demu wake baada ya kumpora kutuka kwa...