Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 284,445
- 738,797
Ukikipenda kitu ni ugonjwa mbaya sana hutasikia la mnadi swala wala la muadhini ni full kudata... Huambiliki.... husikii... Hushikiki... Hukamatiki!!!
Ni sawa na ulevi wa bangi, ulevi wa Mpira, ulevi wa pombe, ulevi wa umbea ati kusutwa sunna...
Usiku huu hujalala ati unapost... Wee mwanga??? Ati unareply na kulike... Kumbuka kesho job na mahabuba anakusubiri hapo pembeni..muendeleze uumbaji na kupoza tamaa za mwili na roho!, Keshategesha.... Jifanye hamnazo kisa JF!! Asilimia 49 itakuhusu... Mi simo acha nifanye yangu.....!!!