JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Napenda niwape kwanza salamu toka kwa Mark Twain Gerald jamaa yangu toka Finland. Nilikuwa huko nmerudi siku chache zilizopita. Huwa anapenda kuingia ingia JF asome threads za English acheke sana...
41 Reactions
55 Replies
6K Views
Mke na mume walifikia maamuzi ya pamoja kujiua (committing suicide) baada ya kupitia katika nyakati ngumu za maisha yao pamoja. Hivyo wakaamua kujirusha kutoka juu ya jengo lenye ghorofa 20...
7 Reactions
17 Replies
646 Views
Umeshabadili ID yako inayojulikana na mwana JF fulani. Ukafungua ID nyingine akaja akakutongoza. Wewe unamjua yeye anadhani ni member mpya au mwingine. Unamalizanaje naye.....unamkwepa...
26 Reactions
365 Replies
9K Views
Wagwan rasta.....selasiii i,i & i in the name of jah, i salute you wana zengo wa jamii forum.Leo nataka kuongelea kuhusu imani ya kirastafari na kwanini nilichagua kuwa rastafari japo sijazaliwa...
19 Reactions
129 Replies
17K Views
Baada yakusoma maandiko mbalimbali ya umughaka humu jukwaani,na kuvitazama kwa umakini visa vyake,nimegundua tunafanana kwa vingi 1. Ulofa Mimi ni lofa sometimes hasa kwenye kudai hela,naweza...
4 Reactions
5 Replies
549 Views
Habari la jioni dada zangu wapendwa. Mada hii inawahusu wanawake ambao asubuhi mchana jioni madera tu. Unakuta mtu siku nzima anashinda na dera halafu ndani amevaa ribukta la man united au...
4 Reactions
59 Replies
2K Views
Naaaaaaam Ndugu wanajamvi, Kuna huyu mjomba aitwaye Kiranga, huwa anasema kuwa hamwamini Mungu. Msimwamini hata kidogo maana anaigiza aisee. Juzi nilipandisha uzi jamvini hapa unao husu...
6 Reactions
220 Replies
16K Views
Baada ya kugunguliwa muungwana ni kushukuru. Nashukuru lkn sikujua kisa nimetuma picha chafu ipi. Ni uungwana kuomba radhi. Naomba Sana. Sikujua kabisa. Viongozi wangu
9 Reactions
71 Replies
3K Views
Wana jf habari zenu,? Leo naomba niwakumbushe l utongozaji na mawasiliano ya me na ke ktk suala la mapenzi. 1.nikirusha jiwe juu ya paa la nyumba yenu ujue ni Mimi 2.ukitumwa sokon jitahid...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Hope wazima wana JF, Juzi wakati nacheki habari ITV saa 2 usiku, nilipatwa na mshituko baada ya kuona umbo namba 8 la mtangazaji wa habari ITV. Baada ya kutangaza muhtasari wa habari akawa...
3 Reactions
43 Replies
6K Views
Habari wadau mko njema kabisa Natumaini wazima kabisa, Basi Sasa kama kichwa cha Uzi kinavyosema naomba kujua utaratibu upoje wa kupata kisimbusi kipya yani kinga'muzi cha Startimes upoje, maana...
0 Reactions
0 Replies
267 Views
Habari wanaJF Bila kupoteza muda hizi ndyo kazi ambazo sitamani kabisa mwanangu aje kuzifanya hata kama zina pesa nyingi. 1.Polisi 2.Barmaid 3.Muigizaji(Kwa mtoto wa Kike) 4.Secretary wa MaBoss...
13 Reactions
74 Replies
2K Views
Haya majina ni majina ya kiasili ya mikoa ya Nyanda za juu kusini. 1. Ang’ombwize 2. Alatuhiga 3. Atupele 4. Tulalumba 5. Mwadalihe 6. Ambwene 7. Anzawe 8. Chengula 9. Mgaya 10. Mbilinyi 11...
3 Reactions
118 Replies
3K Views
Naenda kushangaa mema ya nchi. Nimetoka Mtwara ( Tandhahimba) kwenye mnada wa korosho. Huko wadangaji sio hata watoto wa Mtwara. Ni mademu kutoka Dar halafu wengi wao hawataki hela. Wanataka...
6 Reactions
63 Replies
4K Views
Tupo katika kipindi ambacho wahitimu wa kidato cha sita wanatarajia kujiunga na vyuo vikuu mbalimbali hapa nchini. Swali ni kwamba wanachuo watarajiwa wameandaliwa mazingira mazuri ya malazi...
9 Reactions
27 Replies
2K Views
Yaani wote ninaowafahamu wako hivyo. Sasa nawachunguza nisiowajua ili nigundue kitu
2 Reactions
29 Replies
883 Views
Habari wa JF. Kama title inavyojieleza hapo juu nahitaji chimbo ya jeans kkoo kwa bei ya jumla, kuna jamaa niliongea nae leo tuonane kkoo anipeleke matokeo yake hapokei simu ko nimeenda nimerudi...
0 Reactions
7 Replies
927 Views
Inasikitisha mwanamke wa sasaivi ana lalia shuka two weeks na haoni shida kabisa wakati kwa kawaida shuka linatakiwa libadirishwe ndani ya siku tatu kama hakujatokea maangamizi ya kitandani lakini...
9 Reactions
98 Replies
3K Views
Tujuzane mapema una hisia na mimi za kunyanduana au umetamani tu wallet yangu sema mapema.. nijue. Unakuja na Shobo nyingii unaonesha unanitaka alafu kwenye mizagamuo unasema tufanye kidogo 😥
10 Reactions
42 Replies
1K Views
Wakuu, Ni kitambo kidogo sijaona akichangia au akianza mada hapa JF member mwenzetu FaizaFoxy Au pengine yuko jimboni anaomba ridhaa ya wananchi wake?
1 Reactions
55 Replies
6K Views
Back
Top Bottom