JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Tujuzane mapema una hisia na mimi za kunyanduana au umetamani tu wallet yangu sema mapema.. nijue. Unakuja na Shobo nyingii unaonesha unanitaka alafu kwenye mizagamuo unasema tufanye kidogo 😥
10 Reactions
42 Replies
1K Views
Wakuu, Ni kitambo kidogo sijaona akichangia au akianza mada hapa JF member mwenzetu FaizaFoxy Au pengine yuko jimboni anaomba ridhaa ya wananchi wake?
1 Reactions
55 Replies
6K Views
https://www.facebook.com/reel/2040320036421591
2 Reactions
3 Replies
447 Views
Kwa Sasa hivi mimi ni Principal Bachelor
3 Reactions
13 Replies
578 Views
Ikiwa na nyuma na mbele ni sahihi kabisa! Lakini sio ndani na nje Atakayeona ni nani Kama umegeuza? Kama ni mchumba wala Hana huo muda maana wakati huo wala akili yake haiwazi hayo.. ndio maana...
9 Reactions
57 Replies
2K Views
Am addicted to this superstitional entity called JamiiForums. I cant even rest for merely five minutes without my brain craving to it. Even my other hobbies like dooking and hooking are melting...
6 Reactions
24 Replies
1K Views
Wakuu kwema?. Naomba kuuliza mazee. Nimecheki Facebook nimeona VYUMBA vya kupanga maeneo ya KIMARA SUKA vinapositiwa bei rahisi alaf vizuri kinoma Kuna Nini huko. Mimi sijawahi kufika huko
1 Reactions
6 Replies
671 Views
Kati ya majina marefu ya kiasili niyajuayo ni haya: Uvuvwevwevwe Onyetenyevwe Ugwemubwem Ossas toka Nigeria. na Andriantsimitoviaminandriandehibe, Andriantsimitoviaminandriandrazaka, na...
1 Reactions
9 Replies
590 Views
Jamani hili toto,mrembo wa JF,nimemmiss sana,hata awe na watoto 17 ila kama hana mtu nipo tayari kumvalisha pete la ndoa. Akitoa chozi nimfute,nimkiss halafu nimtakie (nakupenda wewe peke yako).
3 Reactions
80 Replies
6K Views
Jamani nataka kuyaweka maisha yangu kizungu hasa kwenye upande wa chakula aya naombeni menu ya siku nzima. Menu ya kizungu.mfano chips,mayai pembeni na waini ,aya menu nyingine ya kizungu jamani...
9 Reactions
17 Replies
920 Views
Habari wana JF Natumaini tuna vipato tofauti tofauti humu ndani embu leo tupeane utaalamu kidogo wewe unaweza kusave kiasi gani kwa mwezi na ni asilimia ngapi ya kipato chako kwa mwezi hiyo ela...
5 Reactions
32 Replies
1K Views
Maana Kuna wengine muda huu saa 6 usiku ndo muda wao wa mapambano..kunakucha yaan👊 Tunaolala,basi na tulale salama. Kazi njema wana JF Usiku mwema wanaJF!🙏
13 Reactions
86 Replies
2K Views
Just imagine huyu nimewahi onana naye only once kama miezi miwili ago. Tunawasiliana kuchat once in a while. Inaweza pita hata wiki mbili. Na aliniambia ana jamaa yake. Na ana mtoto. Jana tu out...
8 Reactions
87 Replies
2K Views
Kama hamnipi zawadi nitajua mna wivu tu na mimi coz kwa siku hizi 2 nimeacha KUFANYA kila KITU nikashinda JF tu mpaka nikakaribia kupewa cheo kingine cha SINGLE na nanihino wangu!! Moderator...
23 Reactions
83 Replies
2K Views
Hello wana jamii kwa wenyeji wa dodoma na hata wale ambao si wenyeji ila umewahi kufika dodoma kwa ajili ya interview ya utumishi naomba tujuzane lodge za bei nafuu kipande hicho ili ndugu zenu...
1 Reactions
0 Replies
556 Views
Leo itakapofika ile mida ambayo walokuwa wanafanya mtihani wa taifa leo wanakuwa wameshafumba macho yao na tumebaki sisi tu ambao umri wetu una alama ya kujumlisha Yaani wenye ule umri wa kuanzia...
12 Reactions
48 Replies
2K Views
Katika pitia pitia yangu mitandaoni nimekutana na hili jambo ambalo binafsi lili nifanya nicheke usiku huu, nikaona hapana malegend huwa vitu vizur tunapenda kushare na wenzetu. Inasemwa simu...
6 Reactions
21 Replies
817 Views
Mlinde girlfriend wako kama binti yako, Mpende Kama mkeo na Mheshimu Kama Mama yako.
6 Reactions
46 Replies
2K Views
Mawakala wa Trump wametolewa nje ya vyumba vya kupigia kura huko jimboni Maryland Endelea…
0 Reactions
6 Replies
367 Views
Wananzengo, habari? Disemba ndio hiyo tunaikaribia, ikiambatana na sikukuu mbali mbali za mwisho wa mwaka. Mimi niliyetangulia huku kijijini, shamra shamra ni nyingi sana; nipo huku na mama...
10 Reactions
25 Replies
959 Views
Back
Top Bottom