JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Hichi kifaa kinaitwaje na kinauzwa bei gani? Nataka niwe naruka angani niachane na hizi foleni za barabarani.
3 Reactions
3 Replies
320 Views
Habari wanajamii, Naitwa Allen, Samahani Kwa usumbufu, natambua mna mambo mengi ya kufanya ila kwa MDA wako umeamua kupitia Uzi huu🙏🏿, Napitia changamoto ya Usikivu hafifu Kwa takribani miaka...
0 Reactions
0 Replies
351 Views
1 - Saa 3 usiku hakuna daladala barabarani. 2-Saa 4 usiku huoni watu nje na usiulize kwanini. Jiongeze bro! 3-Ugali wa 1500 unapata mboga 7, usisahau uono (dagaa mchele) buree. 4- Ndio jiji lenye...
8 Reactions
10 Replies
1K Views
Wanyakyusa naomba mnisaidie. Mdogo wangu anataka kuoa Tukuyu, Mbeya, ameshauriwa auchunguze ukoo wa msichana wake asije akawa ni MNYAMANYAFU. WANYAMANYAFU eti wanakula watu na ni wachawi sana. Na...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Mwisho wa mwaka unakaribia. Wanangu wapendwa, naomba nichukue fursa hii kuwatakia heri ya mwaka mpya na kuwaombea wale wote waliotangulia mautini. Nawaombea na kuwaomba tuzidi kupendana kupenda...
2 Reactions
0 Replies
234 Views
Habarini za mda huu wakuu? Kuna kitu nmekuwa nikikisikia kinachoitwa number of angels or angels numbers mfano ukiona namba imejirudia zaidi ya mara 2 ujue kuna ujumbe unapewa je ni kweli? Jana...
1 Reactions
30 Replies
1K Views
Ukatae au ukubali asee huu ndio ukweli. Nasema kwa sababu ya uzoefu wangu kama mfugaji wa muda mrefu. Nimefanya tafiti kadhaa kuhusu hili na nimegundua ndivyo ilivyo. Jogoo hupenda kutembea na...
15 Reactions
50 Replies
2K Views
Habari zenu wana jukwaa wa jf natumai muko wazima wa afya njema kabisa Demu wangu ambaye baadae anaweza kuja kuwa mke wangu hataki kabisa nitahiliwe, alishanambia endapo nikitahiriwa basi ndo...
5 Reactions
85 Replies
11K Views
Iwe facebook, instagram, twitte nk. Ni account gani unaona hii kwa kweli ni ya ajabu na unaifuatilia. Mi kuna hii ya instagram watu toka sehemu mbalimbali duniani wanapost fimbo🤣...
2 Reactions
0 Replies
255 Views
Kwa wale wanaotaka kujaribu maisha nje ya nchi katika sekta hii ya jeshi inaweza kuwasaidia hii Australia - private anapokea Milioni 6 kwa mwezi "Sajenti" anapokea Milioni 9...
5 Reactions
42 Replies
4K Views
Pongezi kwa mtayarishaji wa kipindi Kuna namna anavyowasilisha maudhui inatoa picha clear kuwa anajua anachofanya na anafanya to the fullest TAARIFA NA MAARIFA. Vipindi vingi vya radio bongo...
6 Reactions
3 Replies
480 Views
Kitu gani kinakata vibe sehemu za starehe? Embu tuambiane Binafsi kuombwa kumnunulia mtu vinywaji sipendi kabisa maana kuna watu ni wasumbufu kinoma. Kzi kutia huruma kuomba kunuliwa vitu tu...
9 Reactions
45 Replies
2K Views
Nakumbuka nilianza kwa kuning'nia juu ya paa la nyumba kisha kupush mwili wangu ups&down, then push ups 80 hadi 120 kila siku. Nikawa nachelewa kuamka sababu mazoezi sikuyazoea hivyo nilikuwa...
25 Reactions
69 Replies
3K Views
Kuna jamaa yangu mmoja aligraduate mwaka jana chuo. Mwezi wa Oktoba akaomba kazi kwenye shule moja ya kimataifa Arusha. Wakati wa usaili, aliulizwa kama ana uzoefu wa kufundisha international...
9 Reactions
24 Replies
2K Views
Habari za mda huu Kuna watu tunajuana nao kwenye maisha ambao ni Bora tusingewafahamu Kuna watu ambao wanapenda kuwapangia wenzao jinsi ya kuishi mara Fanya ivi mara Fanya ivi na hapo wewe...
6 Reactions
6 Replies
507 Views
Wakuu si kwema kabisa Kazi za site za ujenzi wa wachina zinafanana na mauaji. Kupandisha na kiroba cha saruji floor ya 4 huku subuhi umekula maandazi mawili na chai ya mia sio poa Nimeingia site...
23 Reactions
108 Replies
3K Views
Wadau wa jamiiforum natumaini ni wazima kutokana napilika za maisha. Niende kwenye mada nikiwa kwenye pilika zangu nikutanana na mtu, katika kuongea habari mbalimbli kaniambia eti YAI LA BUNDI...
0 Reactions
0 Replies
616 Views
Kuna mikeka nimesuka mitatu ikitiki tu hiyo baasi. Wale mashabiki wa mwamposa hivi huyu bwana anaweza kuiombea kwa makubaliano kuwa ikitiki nitamlipa 5%?
12 Reactions
69 Replies
2K Views
Kama anavyo onekana kwenye picha kada maarufu wa chama cha maendeleo ufipa Chadema Mmawia
2 Reactions
43 Replies
2K Views
Habari za muda Wana JF. Niende Moja kwa Moja kwenye mada, Leo nimeamka nikiwa mchovu sana +hang over ya mapombe ya Jana tulivyofungwa na wale waarabu. Siku na mood kabisa ya kufanya kazi...
3 Reactions
9 Replies
535 Views
Back
Top Bottom