Tumefunga kikao hapa kijiweni, tumeazimia kuwa UKIMWI wa sasa ni tofauti na ule wazamani. Ni wa kawaida

Na Huo Ndio Uzalendo Wa Kitanzania Kijiwe Kisife Muendelee Kushauriana Zaidi Na Zaidi Mambo TofautiTofauti Ya Kijamii
 
Nenda hospital ya serikali iwe ya wilaya /mkoa/rufaa karibu yako uwe muda wa usiku mf saa mbili.(Muda huu CTC huwa wamefunga)

Waambie umeuza mechi,umekuja kupima uanze PEP muda upo ukingoni.

Utapewa vidonge viwili tu ili urudi kesho kuonana na watu wa CTC.

Piga hivyo vidonge viwili halafu jipime kama utamudu kutumia mbaazi maisha yako yote.

Yale madude mnayachukulia poa vijana.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Mjumbe mmoja tu tena mbishi kweli na anajifanyaga kasoma na mjuaji ndiyo kapinga azimio letu!

Tafakuri ya kina kwa wenye hekima za kipekee

Mchana mwema
CD4 below 200?. Vijana nawasihi acheni ngono zembe gojwa hili ni zito na linamaliza vijana. Mishangazi na Mimama yenye makalio makubwa na wale weupe na mapaja yenye michirizi na mishipa ya damu ya kijani ni magwiji wa retroviruses.. usicheze peku kabisa Dr Remmy Ongala aliwahi kuimba “Mambo kwa soksi” .. I gotta go!
 
Jidanganyeni tu, nina ndugu yangu anateseka na huo ugonjwa sana.....inaniuma sana, mtu aliyeolewa bikra leo yupo wa kuzoa kitandani.
Na sio kwamba alikuwa hatumii dawa, katumia sana.....ugonjwa umeenda kuibua magonjwa mengine makubwa now yupo anateseka kitandani.....😭😭
Mpeni lishe nzuri
Nina ndugu yangu ana miaka 25 , hamezi mbaazi yeye amezingatia lishe na mazoez .
 
Back
Top Bottom