JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Kawa kawaida ndani ya daladala Mbagala, wakati konda akiendelea na zoezi la kuchukua pesa kwa abiria. Kuna kijana akamuibia nauli mzee mmoja aliyekuwa kasimama kwenye siti za nyuma. Konda...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kuna Jamaa alikwenda kumtembelea mwanamke wake, alipofika nyumbani kwa mwanamke hakupiga hodi, moja kwa moja akaingia mpaka ndani, alipofika ndani akashangaa kuiona picha ya mwanaume mwingine ipo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hi Forumers, Please I’m having an issue with my blog (….blogspot.com). The Google Adsense application on it was running for more than 4 years without any problem. Nevertheless, I recently saw...
0 Reactions
1 Replies
663 Views
Kuna tofauti kati ya harusi za sasa na zamani,ilikuwa ni shughuli kupata uso wa bibi arusi wakati wa kupiga picha,na alikuwa amenuna,tofauti na sasa bi arusi kichwa wazi hadi mabegani na tabasamu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
nimepita maeneo ya sokoni leo nikakumbuka kubeba vimatunda nyumbani nikafika eneo yamepangwa maparachichi nikakuta wamama wanayauza, kabla sijaanza kuchagua kila mmama,mbinti,mbibi onja ya kwangu...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Jamani mh. Makufuri hadi huku unahusika..!
0 Reactions
1 Replies
550 Views
Wapendwa, wana JF poleni na majukumu, kheri ya mwaka mpya, ongeleni kwa kupataa uongozi mpya kuanzia diwani hadi rais, kiukweli nimekuwa mbali sana na forum hii kwa sababu ambazo sikuweza...
0 Reactions
3 Replies
925 Views
Yupi mtu mbaya kati ya hawa,anayekwenda kwa mchawi kumroga mtu au mchawi anayefanya kile kitendo
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Masoud Kipanya endelea kuelimisha jamii mkuu!
7 Reactions
33 Replies
6K Views
*** Usisome kama una roho nyepesi. *** ZAIDI YA MIAKA 18!!! Baada ya zaidi ya miaka 40 ya ndoa, mke na mume walikuwa wamelala kitandani. Mara tu, mume akaanza kumpapasa mkewe kwa ulaini kama...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jamaa baada ya kuvushwa border kwa mabavu kawajibu uhamiaji ya bongo kwa style hiyo
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Bila shaka mu wazima tu.... Kuna majina ya vijiji yanachekesha sana.. Kuna kijiji kimoja kipo mkoa wa Ruvuma kinaitwa mpitimbi, hili Jina limekaa kimzaha mzaha sana na linachekesha balaa. Hebu...
2 Reactions
80 Replies
15K Views
Jamani hawa madansa wa koffi olomide mbona wazuuri hvyo afu weupe sanaaa,,wamenifanya mpaka niipende congo
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Jamaa: Mama, unajua nimefikia umri wa kuwa na familia. Huko mjini ninapoishi nimetafuta msichana bikra wa kumuoa sijampata. Kwa hiyo nimekuja huku kijijini unisaidie kutafuta. Mama: Ukweli...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Mke: Hivi mume wangu, kati ya mimi na house girl unampenda nani? Mume: (Akajibu kwa sauti ya ukali) Nakupenda wewe mke wangu. Sasa maswali gani hayo ya kipuzi tunaulizana?! Mke: Nauliza kwa sababu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamaa kafumwa na mke wa mtu, mwenye mke akamwambia, "Chagua moja; unipe nile tigo au nikufumue ubongo?" Jamaa kwa sauti ya unyonge akajibu, "Bro, kula tu tigo yaishe." Tehe tehe tehe mke wa mtu sumu!
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Siku ya kwanza Jamaa kapigiwa simu na mwanamke wake. Mwanamke: Hi baby! Jamaa: Hi uko poa mchumba? Mwanamke: Niko poa, baby nilikuwa na shida. Jamaa: Shida gani? Mwanamke: Naomba unitumie laki...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wakuu, Kesho jumatano natarajia kwenda Kyela, Mbeya lakini usafiri nitakaoutumia ni pikipiki ya tairi 3 yaani bajaji, na nitapita nayo pale mbugani Mikumi kwa kasi ya roketi, natumaini hakuna...
0 Reactions
49 Replies
6K Views
LOL!
1 Reactions
0 Replies
898 Views
Kuna ndugu yangu anataka kuchukua huo uamuzi
1 Reactions
19 Replies
10K Views
Back
Top Bottom