Kirikou Wa Kwanza
JF-Expert Member
- May 24, 2013
- 3,564
- 1,991
Kuna Jamaa alikwenda
kumtembelea mwanamke wake, alipofika nyumbani kwa mwanamke hakupiga hodi, moja kwa moja akaingia mpaka ndani, alipofika ndani akashangaa kuiona picha ya mwanaume mwingine ipo chini ya kitanda. Jamaa kwa hasira akamwita mwanamke wake, "We mwanamke hebu njoo hapa!" Yule mwanamke alipofika tu akauliza, "Mpenzi umefika saa ngapi?" Jamaa akamjibu, "Usitake kujua nimefika saa ngapi, niambie hii picha ni ya
nani?" Basi mwanamke kwa mahaba mazito huku akijichekesha chekesha akamjibu, "Punguza wivu mpenzi, sina
mwanaume mwengine zaidi yako.
Hiyo picha ni picha yangu kabla sijabadilisha
maumbile."
Tehe tehe tehe kilichotokea nasikia Jamaa aliondoka bila kuaga!

Last edited: