Mphamvu
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 10,702
- 3,310
*** Usisome kama una roho nyepesi. ***
ZAIDI YA MIAKA 18!!!
Kwa hisani ya Gotta Irie
ZAIDI YA MIAKA 18!!!
Baada ya zaidi ya miaka 40 ya ndoa, mke na mume walikuwa wamelala kitandani.
Mara tu, mume akaanza kumpapasa mkewe kwa ulaini kama alivyokuwa anafanya wakati wa ujana wao.
Mke alianza kutekenyeka na kufurahia kitendo cha mume wake.
Yule mume alianza kupapasa nywele na kuteremka kidogo kidogo hadi kwenye mabega.
Uhondo ulizidi pale alipopita sehemu za mgongo kushuka hadi kwenye kiuno. Lakini hakuzidi hapo.
Yule mume alifanya kwa upande wa kulia na upande wa kushoto.
Mke alijihisi starehe ambayo hajawahi kupata kwa miaka mingi sana.
Ghafla, mume akasimamisha zoezi!!!
MKE: Mume wangu, kwanini unaacha??
MUME: Mke wangu, nimeipata remote.
Kwa hisani ya Gotta Irie