JamiiCheck

A citizen-centered approach in countering misinformation and disinformation Online and Offline by JamiiForums

On JF:

Nimekutana na hii taarifa mtandaoni ikisema mamlaka ya vitambulisho vya Taifa (NIDA) kwa kushirikiana na chombo cha utoaji wa huduma za Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) kwa pamoja wametoa mkataba KANJU ENTERPRISES LDT wa kutoa huduma kwa wananchi ya kufanya marekebisho ya majina/taarifa zilizo tofautiana kwenye; Cheti cha Kuzaliwa na NIDA/Kitambulisho cha Taifa. Je ni upi uhalisia wa taarifa hii?
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Joseph Magufuli amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 61 Taarifa rasmi iliyotolewa kwa umma na Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan kupitia Televisheni ya Taifa (TBC) leo usiku Machi 17, 2021 saa 5 usiku imeeleza kuwa Rais Magufuli amefariki dunia leo majira ya saa 12 jioni kwa maradhi ya Moyo akiwa katika Hospitali ya Mzena jijini Dar. Rais Magufuli alilazwa tarehe 6 Machi katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete kwa tatizo la moyo wa mfumo wa umeme ambalo limekuwa likimkabili kwa takirbani miaka 10. https://youtu.be/QBIpF2qEPoU?feature=shared
Hapa kijijini mjadala umekuwa ukiendelea kuhusu wanyama jamii ya Punda namna ya ulaji wa mimea, mfano "mhindi" ambao umeng'atwa na punda huwa hauoti tena, tofauti na unapong'atwa na wanyama wengine kama ng'ombe, kondoo au mbuzi, na wanakijiji wamefika mbali zaidi na kusema labda wanyama aina ya punda yamkini watakuwa na sumu, hivyo endapo watang'ata mmea huo basi huathirika na sumu, hivyo kutokuendelea kuchipua tena.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…