JamiiCheck

A citizen-centered approach in countering misinformation and disinformation Online and Offline by JamiiForums

On JF:

kumekuwa na chapisho linalo samba kwenye mitandao ya kijamii hususani facebook linaeleza kuwa Mwanaharakati Maria Sarungi amekamtwa na jeshi la polisi nchini kenya huku ikieleza kuwa taarifa hiyo imechapishwa na godbless Lema huku x pia chombo cha Habari cha Jambo tv kuchapisha huko X Taarifa hizo sio sahihi kwani hazina uhalisia wowote na hazijachapishwa sehemu yoyote ile.
HEADLINES RIP 😭 KING KONG Rapa na mSanii mkongwe wa Hiphop apa nchini Chidd Benz amefariki dunia mapema jioni ya Leo kwenye hospital ya rufaa ya Muhimbiri .. Kwa ugonjwa wa Kansa ya Koo. Vyombo mbalimbali vya habali ikiwemo WASAFI Media wamedhibitisha na kulipoti taarifa hii.. RIP Chidd Benz tutakukumbuka Kwa nyimbo zako Kali na kuzienzi .πŸ’”πŸ’”πŸ™πŸ˜­ Dotcome Dotcome.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…