JamiiCheck

A citizen-centered approach in countering misinformation and disinformation Online and Offline by JamiiForums

On JF:

Ndugu mstaafu kikwete amedanganya umma kuwa hata awali ridhiwani alipita bila kupingwa Si kweli. Ridhiwani alipingwa na ushindani ulikuwa mkubwa tu wa kutosha mwaka huu kubadili matokeo. Na huu hapa ni ushahidi. Si vizuri kwa mtu wa umri wake kusema amedanganya. Mila zetu haziruhusu. Ila mtu anapozoea kuwa muongo hudanganya kwenye kila jambo.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…