Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

MZEE WA UPUPU: Povu la Yanga ni hisia na tatizo la matokeo Juma lililopita nilikuwa kwenye viunga vya Azam Complex Chamazi, Dar es Salaam kwenye mazoezi ya Namungo FC wakijiandaa na mchezo wao wa...
11 Reactions
25 Replies
3K Views
Ajax vs Young Boys Dynamo Kyiv vs Villarreal Roma vs Shakhtar Donetsk Olympiacos vs Arsenal Dinamo Zagreb vs Tottenham Man Utd vs AC Milan Slavia Prague vs Rangers Granada vs Molde Mechi...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Manchester United itacheza na washindi mara saba wa Ligi ya Mabingwa Ulaya, AC Milan katika hatua ya 16 bora ya Ligi ya Europa. AC Milan, ambayo inashika nafasi ya pili katika Serie A, bado...
1 Reactions
0 Replies
828 Views
1. Je, kati ya Goli alilofunga Balama Mapinduzi dhidi ya Simba SC na alilofunga jana Jose Miqquissone dhidi ya Al Ahly ni lipi ni Tamu na la Kiufundi ambalo hata Benki ya Dunia ikikudai Mkopo wake...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Kwenye uzi huu tutapata updates za game hiyo inayochezwa leo. Hizo timu zipo group 1 na Timu yetu pendwa Simba SC. Tuombee mechi hii iishe sare ili Simba aendelee kuongoza kundi hilo. Dk 19...
14 Reactions
116 Replies
10K Views
Salaam, Naomba kujua iwapo mpira wa kurushwa ukirushwa na kuingia moja kwa moja wavuni kwa timu pinzani bila ya kuguswa na mchezaji yeyote, Je hilo litakuwa ni bao halali? Na je, ni idadi gani...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Kama taarifa ya TFF inavyojieleza hapo chini. Game itakuwa tamu sana hii, wabongo tukajivinjari kwa Mkapa siku ya mechi tarehe 28.02.2020 tukiwa na barakoa zetu.
8 Reactions
50 Replies
5K Views
Leo ni mechi ya pili kati ya Namungo na CD de Agosto ambapo katika mechi ya awali CD de Agosto walipokea kichapo cha goli sita kutoka kwa Namungo dhidi ya goli zao mbili. Ushindi wowote kwa CD de...
3 Reactions
38 Replies
4K Views
Takwimu zinaonesha Manchester United imeshinda mechi moja tu kati ya tisa za nyumbani walizocheza dhidi ya timu za Uhispania, wakishindwa kufunga katika mechi mbili. Mechi moja waliyoshinda...
1 Reactions
2 Replies
805 Views
Baada ya kutoa kichapo cha goli 6-2 katika Dimba la Azam Complex , Namungo hii leo anashuka tena dimbani kumalizia mchezo wa mwisho na De Agosto wa hatua hii ambapo mshindi wa jumla atasonga...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Mohamed Salah ni moja kati ya wachezaji bora Afrika akiwemo Riyad Mahrez, Sadio mane, Aubamayeng, koulibaly, Hakeem Ziyech n.k. 1--Mohamed Salah na Sadio Mane 2--Riyad Mahrez na Aubamayeng...
1 Reactions
7 Replies
710 Views
Kabla ya kuanza kwa msimu huu wa mashindano ya CAF, Tanzania ilikuwa katika nafasi ya 13 Afrika, ikiwa na pointi 14. Pointi hupatikana kwa klabu kuingia hatua ya makundi. Kwa ligi ya mabingwa...
12 Reactions
22 Replies
5K Views
  • Redirect
Klabu ya CR Belouizdad ya Algeria imependekeza kutumia uwanja wa Benjamini Mkapa jijini Dar kwa ajili ya mchezo wao wa klabu bingwa Afrika(Caf Champions League) dhidi ya Mamelodi Sundowns ya...
1 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Wadau hamjambo, naomba kuuliza tu hao watu bado unawaona huko kwenu?
1 Reactions
Replies
Views
- Anaitwa Thadeo Lwanga - Ana bachelor degree ya software engineering Kiungo mkabaji wa klabu ya Simba Una maoni gani juu ya kiungo msomi huyu
5 Reactions
26 Replies
4K Views
Simba sasa yaanza kukodisha mashabiki,baada ya mamelod kuomba waungwe mkono ktk mechi yao itakayopigwa dimba la mkapa. Hakika wanamsimbazi sasa wanatisha.
17 Reactions
25 Replies
3K Views
Najaribu kuwaza kwa sauti jinsi Simba walivyonyimwa penalty na hawakulalamika. Na si kwa mechi ya jana tu, hata mechi za ligi ya nyumbani, Simba wamekuwa wakichezewa rafu mbaya hasa Miquisonne na...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Klabu ya Simba ya Tanzania imeanzisha mashindano mapya ambayo yatajulikana kama Simba Super Cup, Akizungumza na vyombo vya habari CEO wa timu hiyo Barbara Gonzalez amesema mashindano hayo...
14 Reactions
79 Replies
7K Views
Ukiwa kama shabiki wa soka bila kujali unashabikia timu gani, dondosha maoni yako kuhusu uwezo na kiwango cha beki wa kati wa Simba kutoka Kenya Joash Onyango 'Giorgio Chiellini'
9 Reactions
85 Replies
12K Views
Taarifa zinasema kwamba ajali hiyo imetokea mjini California , huku dereva akiwa yeye mwenyewe ambapo ndani ya gari hilo alikuwa peke yake . Huenda akafanyiwa upasuaji . ====== Bingwa mara 15...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…