Picha: Fesal Salum 'Fei Toto'
Kocha wa timu ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Adel Amrouche amemuita kikosini kiungo Feisal Salum katika michezo miwili ya kufuzu Afcon 2023 dhidi ya Uganda.
Picha...
Note it: Yanga SC ndio timu pekee ktk ligi kuu soka Tanzania bara kutoa wachezaji wengi wa kigeni na wazawa ambao wameitwa kwenye vikosi vya timu za Taifa. Wa kigeni 6 na wazawa 7 jumla 13, Kwa...
Machi 23, 2022 Timu ya Mpira wa Miguu ya Majimaji Fc toka Songea, ilizuiliwa Hotelini jijini Dar es salam mara baada ya kushindwa kulipa madeni yao. Timu ikashindwa kurejea nyumbani kwa wakati...
Mwamba huyu hapa!!
Kwa bahati mbaya anafanya Kazi kwenye nchi ambayo watu wanasubiri ukosee ndiyo wakuzodoe ila ukiwa unafanya mazuri wanafumba macho.
Kwanza ametengeneza timu isiyo na Super...
Eti kwakuwa alimfunga Simba goli hapa nyumbani na kule kwao kwenye mechi ya Marudiano, basi ndio tunatumia nguvu kubwa sana kuhakikisha tunamsajili.
Mchezaji gani anatingisha nchi kwenye usajili...
Wakuu, mie nina miongo sita na ushee hivi.
Natamani niichezee Azam FC japo kwa kupewa posho tu kwa jinsi hali inavoonekana. Si ajabu hata nne bora tutakosa maana Ihefu (wanaojielewa sasa)...
Ukweli ndio huo.
ZBC2 katika misimu kadhaa ya Nyuma waliwatumia Watangazaji wazoefu katika kutangaza mechi za kimataifa.
Lakini msimu huu, wanatia Watangazaji ambao hawana mvuto. Sio wabunifu...
Kelele zote ulizokuwa unazisikia mwaka jana ilikuwa ni Confederation Cup.
ukisikia Sakho kashinda goli bora la CAF basi ujue alilipatia kwenye Confederation Cup.
Ukisikia sijui Simba timu ya...
Golikipa wa Chelsea, Edouard Mendy anamfananisha mshambuliaji mpya wa Man City sawa na Mshambualiaji wa Crystal Palace, Christian Benteke.
Kwamba Haaland hana tofauti yoyote na Benteke hii...
Mchambuzi mahiri wa michezo nchini, Jemedari Said amesema Simba na Yanga wanacheza mashindano yenye ubora tofauti, Simba ligi ya mabingwa Afrika, na Yanga kombe la Shirikisho.
Kutokana na...
Mimi nikiwa shabiki wa damu wa Horoya Football Club nakiri hadharani kuwa hapa hakuna timu. Japo tupo klabu bingwa lakini klabu yetu imejichokea sana, hatuna wachezaji wowote wa maana wanaojua...
Habari wadau wa JF. Naomba mupokee na kuendelea kuboresha hili bandiko linalohusu mashindano ya CAF kwa vilabu kwa msimu wa mwaka 2022/2023. Kwa kuanzia nitaweka misimamo kwa mashindano tajwa...
Wakati wanasajiliwa kuja Yanga Hawakuwa maarufu sana na mechi nyingi walikuwa wanatokea benchi kiasi wachambuzi uchwara kama kawaida yao wakaanza kuwaponda na kuwapa majina ya ajabu kama mzee wa...
Saidoo aliachwa na Yanga kwa mazingira sawa na yale aliyoachwa Morrison Simba.
Ila Saido anaonekana kuwa tegemeo kwa club yake tofauti na Morisson.
Ilikuwaje Morrison kupewa tena mkataba wakati...
Kuna swali? Kutoka kudhihakiwa hadi kuibeba timu kuipeleka robo fainali. Leo kafunga (goli dume) na kisha katengeneza goli dume jingine kwa Mayele.
DJ leta 'mikimbioooo'.
Sent from my SM-A307FN...
Wananchiiiiiiiiiìiiiiiiiiii
Usiku wa deni haukawii kukuchwa. Leo ndiyo ile siku tuliyoisubiri kwa hamu kwa Yanga kukata tiketi ya kutinga robo fainali ya michuano ya CAFCC.
Saa moja jioni mbivu...
Leo kuna jambo nilikuwa nafuatilia na katika kupekuapekua huko mitandaoni, nikawa napitia kanuni na sheria za mashindano ya CAF nikakutana na kitu kilichonifanya nijiulize maswali kuhusiana na...
Young Africans ilicheza na Raja Casablanca jijini Dar es Salaam na kutoka suluhu ya 3-3(Najua hujawahi kuisikia hii) . Lakini Yanga ilipoenda Morocco ikapoteza kwa 6-0(hii ndiyo inatangazwa sana)...