Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Hizi timu zero mbili safari hii sioni hata moja ya kuvuka hatua ya makundi bali zote zitaishia hatua ya makundi. Yaani hamna cha robo wala mwakarobo kwa timu zote mbili. Kwa sasa, hatuna timu...
1 Reactions
4 Replies
405 Views
I salute you kinsmen Tumevuka makundi, tumeshinda Lakini kuna namna tujipange mapema sana huko mbele pagumu sana Dakika 45 za kwanza Yanga walionesha mchezo ambao tofauti kabisa na ule...
13 Reactions
34 Replies
1K Views
Naomba niweke hili ombi ili tuingie uwanjani mapema basi watuletee supu chapati mida ya saa 5 asubuhi. Hii itatuhamasisha sana na kutupa roho ya kuishangilia team. Pia tutaweza kuja kwa wingi...
2 Reactions
3 Replies
219 Views
Alihamdulilah tumeshinda Kipindi cha kwanza nilishindwa kuelewa hata kidogo game plan ya mwalimu ya pale kati kuwepo Camara tu mbaya zaidi akichezeshwa kama no 6 binafsi mi ni muumini wa traits...
3 Reactions
9 Replies
809 Views
Kwa Mashabiki wa Simba SC mtakaoenda Uwanjani kuweni makini sana na Wallets zenu na Simu zenu za Gharama.
2 Reactions
10 Replies
488 Views
Leo nimeweka bet ya 100m kuwa Yanga itashinda am 3-0 au 3-1; nikikosa zote, basi nitahamia mapangoni. Nikipata mojawapo, basi tuwasiliane nikakupe bia za bure mpaka uzitapike: "He was a wise man...
3 Reactions
27 Replies
1K Views
Joao Mota Maria ndiye Kocha Mkuu mpya wa Yanga SC, raia wa Ureno. Kocha Mpya wa Yanga SC Joao Mota Maria anawasili nchini alfajiri ya Oktoba 25, 2025 na ndege ya saa tisa alfajiri, atakuwepo...
4 Reactions
36 Replies
1K Views
Hii match tumeimaliza nje ya Uwanja. Na ubao unasoma tuna goals zisizopungua 3. Leo hawa madogo wanapigika kinyama hasa. Wameshakubali matokeo. Sisi tupo vizuri na tunaingia uwanjani kuwachakaza...
3 Reactions
6 Replies
315 Views
Dokumentari ya Fiston Mayele alivyopokewa kuwa mfalme wa uwanjani ktk nchi ngeni https://m.youtube.com/watch?v=YIKlNoYxNDc Ceci est un film biographique du joueur Fiston Kalala Mayele retraçant...
1 Reactions
1 Replies
253 Views
Wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya CAFCL, Yanga SC jioni ya leo wataingia uwanjani kurudiana na timu ya Silver Strikers kutoka Malawi Katika mechi ya kwanza iliyofanyika jijini Lilongwe...
8 Reactions
150 Replies
7K Views
Kwanza nitoe pole kwa mashabiki na wanachama kwa kipindi hiki kifupi na kigumu tulichopitia tangu timu ilipokuwa chini ya kocha aliyetimuliwa Romain Folz. Kocha huyu alikuwa hana uzoefu wa kutosha...
17 Reactions
70 Replies
2K Views
Wale ambao huwa mnawaona wakiingia Uwanjani pale Goli likifungwa au Mechi ikiwa bado inaendelea siyo kwamba huingia kwa Mahaba ya Mchezaji fulani au Goli kufungwa bali kwa tunaoujua vyema Mpira wa...
2 Reactions
13 Replies
654 Views
Edmund john - anacheza kama kondoo Offen Chikola - sio level ya yanga Aziz adambwile - vivu,zembe , chawi Prince Dube- huyu apigwe kabla yakufukuzwa Mo doumbia _ mchezaji mvivu na mjinga Kocha...
7 Reactions
21 Replies
1K Views
Moja kwa moja kwenye mada Mara kadhaa nimeona mtandaoni kocha na wachezaji wa Nsingizin wakisema eti wanajua Simba atajiangusha na kujilaza sana pale kwa mkapa ili kupoteza muda pale kwa mkapa...
5 Reactions
8 Replies
499 Views
Habari zenu humu ,wale wapenzi wa DRAFT ,ilifanyika ligi ya MABINGWA wa draft unaowajua wewe hapa TZ ,pale Java Lounge Bingwa aliibuka dogo SISCO Mashindano yalianza na hatua za makundi Katika...
7 Reactions
109 Replies
6K Views
Kumekuwa na wimbi jipya katika mitandao ya kijamii wiki hii, likimhusisha binti mahiri wa soka, Vivienne Theresa Upendo Lia, ambaye baadhi ya Watanzania wameanza kudai ni “Mtanzania” kwa sababu tu...
3 Reactions
44 Replies
2K Views
17 October 2025 Dar es Salaam — Singida Black Stars ya Singida Tanzania imeondoka kwenda Burundi kwa ajili ya mchezo wao wa Kombe la CAF Confederation dhidi ya Flambeau du Centre, unaotarajiwa...
1 Reactions
7 Replies
496 Views
Kuishi vijijini tabu yake ndio hii sasa Unanunua king'amzi cha Dstv na hujuwi vifurushi vyake huwa vina bei gani Naomba kufahamishwa ndugu wapenda michezo Kwa sasa ni bei gani ili niangalime...
1 Reactions
3 Replies
298 Views
I salute you kinsmen Kiukweli kuna jambo linatatiza sana sana! Kuna team ipo hapo kariakoo na jengo Lao la msimbazi la mchongo huwa ina matatizo makubwa sana Wao hawakubaligi kuwa wameachwa...
2 Reactions
25 Replies
871 Views
Kuna mtu namjua anamdogo wake yupo academy flani hapo morogoro ila ile academy kuna kipindi hata mipira haina inabidi wamuombe mpira mdogo wake jamaa aliyemununulia Changamoto za academy za mpira...
2 Reactions
6 Replies
274 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…