Fotmob haitambui kitu kinaitwa Yanga SC

Smart AJ

JF-Expert Member
Mar 21, 2022
5,543
5,754
Nimeshangaa sana, kwani nimejaribu kusearch timu kibao za ndani na nje, ila kila nikisearch Yanga ili nitazame rates wanazompa King Mayele naona wanasema no suggestions.

Hii ina maana gani wakuu wangu? Sasa ntapata wapi rates za king mayele jamani?.

Ina maana hata Mtibwa wanajulikana na Fotmob, ila timu ya sisi Wananchi haipo? Hawa Fotmob ni Simba tu hawa kama CAF tu. Ni hujumaaaaa!

Screenshot_20230405-164137_FotMob.jpg
 
View attachment 2577439
Wewe utakuwa chiz.i umetoroka Milembe
IMG-20230405-WA0019.jpg
 
Jaribu young Sc japo Mimi sio utopo ila nimeona kwa jinsi gani ulivyokilaza

Back
Top Bottom