Naam, kambumbu itapigwa pale Mbalali kwenye Uwanja wa Mpunga, Ihefu akimualika Simba SC.
NALIA NGWENA the big thinker natabili kadi za njano zakutosha na ikiwezekana kadi nyekundu inaweza kutokea...
Mchezaji Bora wa mwezi Jean Baleke super finisher ameonesha kiwango kikubwa kwenye mechi za karibuni,Ile acrobatics ya Jana waooh what a player wazungu wanasema.
Baleke ukitaka nyota yako ing'ae...
Sina muda wakutoa salamu Wala kuwajulia hali, kutokana na namna gani nilivyochafukwa kwa kuona mtani akisimangwa waziwazi na kanjibahi Mo dewji.
Wiki imekua ngumu sana kwa wanasimba kutokana na...
Haiwezekani Mchezaji wetu Yanga SC Kennedy Musonda tuliyemsajili kwa Mbwembwe zote huku tukiwacheka Simba SC kwa Kumsajili Mchezaji tuliyeona ni Garasa (Kapi) Jean Baleke hafungi na...
Wanaomwita Jini hawako mbali na ukweli. Tazama alipiga mgoli wa kichwa akipokea krosi toka kwa Kibu Denga. Hilo lilikuwa goli tayari. Mara nyingi majini hayana huruma maana. Jini likaona litoe...
Dar es Salaam. Kocha wa zamani wa Yanga, Luc Eymael amesema kuwa timu hiyo haijafungiwa kusajili madirisha matatu na Shirikisho la Kimataifa la Soka (FIFA) kwa kosa la kuchelewa kumlipa madai...
Hakika ni Jambo la kushangaza sana katika huu mpira wet wakibongo bongo
Feisal salumu ameikataa yanga, nakupotelea kusikojulikana akidai kuwa yanga haimlipi vizuri .
Hakuishia hapo feisali salumu...
Hivi zishafika bandarini au ilikua danganya toto tuliambiwa viwanja kumi watavikarabati na kuviweka nyasi bandia je hela hakuna au ndio uongo wa kila siku.
Nimecheki mechi ya leo na iliyopita huyu wa kuitwa Baleke ni surprise na si kitu kizuri akitumiwa effectively mechi ya jumapili.
Bado hajaweza kusomeka vizuri na huenda ana vitu extra ambavyo...
🚨HAKUNA KAMA FISTON MAYELE
FISTON MAYELE tangu alipojiunga Yanga amecheza michezo 35 na kufunga mabao 43 katika michuano yote yakiushindani
Tangu MAYELE alipotua Tanzania hakuna mchezaji...
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana ameipokea rasmi timu ya wasichana ya mpira wa miguu ya Fountain Gate, mabingwa wa Afrika kwa Shule za Sekondari walioiwakilisha...
Majira ya Saa 10:00 Alasiri kwa masaa ya Afrika Mashariki, Ihefu Fc itawakaribisha Simba Sc katika dimba lao la Highland Estates katika muendelezo wa Ligi Kuu ya NBC.
Habari kubwa leo, nani wa...
Ni kweli isiyokuwa na shaka Jean Baleke ni moto wa kutisha, wanaobisha ni wivu tu
Lakini pia tusisahau Jean Baleke sio mchezaji wetu, ni mchezaji wa TP Mazembe na yupo Simba kwa mkopo
Kuringa...
Tukiachana na ushabiki wa uyanga wangu, huyu Baleke Simba wamepata mtu mwenye shabaha na nyavu zilipo. Huyu jamaa kaja katikati ya msimu ila alichokionesha uwanjani kitakwimu zinaogopesha sana...
Baleke yupo kwenye kiwango bora sana, lakini kwa mifumo ya Nabi pale Yanga hachezi!
Chama mwenyewe chini ya Nabi ananzia benchi. Ni inonga tu, anaweza kuingia kwenye kikosi cha Nabi moja kwa...
SUPER LEAGUE TIMU 24
"Tukiwa Afrika Kusini, April 5 tulifanya kikao na kamati tendaji ya (CAF), tukapendekeza mashindano ya Africa super league badala ya kuanza na timu (8) yaanze na timu (24)."...
Huyu Mchezaji sijawai ona tangia amejiunga na Simba Sc hakuna Mechi hata Moja aliyo perform kwa kiwango cha kuthibitisha kwamba huyu ni international professional player.
Ni kheri sasa huyu...
Hakuna taarifa mpya kwenye Ligi Kuu ya Afrika kutoka kwa niliyotoa mara ya mwisho.
Timu 8 pekee ndizo zitaanzisha mashindano na sio 24 katika msimu wa kwanza.
Mazungumzo yanaendelea kwa Enyimba...
Chama cha mpira wa miguu wilaya ya songwe (Sorefa) kimetangaza kifo cha mchezaji wa timu ya Saza FC, Albat Andrea aliyefariki baada ya kugongana na mwenzake katika kuwania mpira. Tukio hilo...
Humu nakumbuka kuna watu waliona timu zilizopo klabu bingwa timu bora haswa, Habari ziwafikie kuwa ile timu ambayo kwasasa inaimbwa kuwa ni moja ya timu bora sana katika klabu bingwa, wana sifiwa...