Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Wadau naomba nijielekeze kwenye mada tajwa. Wengi tunajua mechi za Simba na Yanga huwa ni tukio la kitaifa kama sio kimataifa na hugusa watu wengi,bahati mbaya naona Kuna kikundi kichache daima...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Na KENGE, 25 March 2023 ni siku ambayo Kocha Thomas Tuchel(TT)anasaini mkataba wa kuinoa miamba ya ujerumani Bundasliga BAYERN MUNICH baada ya kumfuta kazi Julian Nagelsmann. Katika EXCLUSIVE...
1 Reactions
32 Replies
2K Views
Simba na Yanga zinacheza tarehe 16/04/2023. Mechi ya Simba na Yanga au Derby ya kariakoo ni mechi inayoitaji akili, nguvu na utimamu wa mwili kuikabili mechi hii kwa timu zote mbili. Wapizani wa...
3 Reactions
35 Replies
2K Views
Kiukweli mpira wa Tanzania ili utoboe unahitaji kujituma, kutokata tamaa na uvumilivu wa viwango. Kiukweli Mimi ni shabiki na pia mwanachama wa Dar es salaam Young African, naipenda sana hii timu...
11 Reactions
12 Replies
2K Views
Anasemaje mwenzenu mimi nina akili? Maana yake yeye kutoka Simba ndo amekuja na akili? Mjinga sana huyu jamaa. Ametukuta Yanga asitupangie nini cha kusema na kufanya. Halafu anawaambia watu...
12 Reactions
116 Replies
12K Views
Yes nimeahi sikia kwamba kuna watu wamepiga mshindo kwenye betting lakini hao watu ni nadra sana wanaweza kuwa katika kipimo cha mtu 1 kati 100 ya wale wanaobeti. Ili kitu kiwe na uhakika wa kitu...
3 Reactions
37 Replies
4K Views
Hivi karibuni kumekuwa na malalamiko kuhusu hali ya usafi na utunzwaji wa Uwanja wa Benjamin Mkapa. Nimejaribu kupitia nadharia mbalimbali na uzoefu niliokuwa nao kwenda viwanjani mara kwa mara...
0 Reactions
3 Replies
787 Views
JUZI kulikuwa na mechi ya watani pale Temeke. Simba na Yanga. Hadi wakati naandika makala haya sifahamu matokeo yalikuaje, lakini nafumba macho na kuvuta picha nzito ya pambano hili tangu nikiwa...
0 Reactions
2 Replies
903 Views
Wakimfunga Bayern Keshokutwa huenda Man City wakawa na Mechi bandika Bandua kila katikati ya Wiki na hapo kuna kiporo cha Brighton ambacho hakijapangiwa Siku (na ukiangalia siku ambayo itakuwa...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Naombeni kufahamu kuwa nomesoma reviews nyingi Sana kwenye trustpilot na mitandao Kama Quora, YouTube wengi wanalalamika kuwa bet365 ni wezi na matapeli wanaofungia watu account. Je hili ni kweli...
0 Reactions
1 Replies
906 Views
This is Souleymane Sane, a former Senegalese international player, he represented Senegal in 1994 Afcon, he is the father of Leroy Sané who is representing Germany. He gave his son Leroy because...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Kama mashindano ya CAF yanaruhusu kuvaa jezi ya nyumbani hata ukiwa ugenini, basi ni vyema Yanga wakawa wanaitumia jezi za nyumbani hata wakiwa away kama tu jezi hazifanani na aliyeko kwake...
2 Reactions
20 Replies
1K Views
Kwanini hizi team uwa hazidumu kwenye ligi na zinaongoza kwa matokeo mabaya??Na sio Bongo pekee ni E.Africa ndo tuna ili pepo la team za majeshi ligi zilizoendelea kiafrica kama S.Africa na...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Ushauri huu ufike moja kwa moja katika shirikisho la mpira Tanzania (TFF), nilikua naangalia ratiba za wenzetu waliotuzidi kimaendeleo ya mpira wa miguu, nikili tu kiukweli ratiba zao hazina...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
Wakuu Ingawa ni ukweli dawa chungu ndo inayoponya, basi hatuna budi kuupokea ukweli huu Ukimuuliza hata mgunda hapo bado atakwambia the same hawajui watashinda vipi! Team ipo ipo tu imepoteza...
3 Reactions
42 Replies
3K Views
Mchezo wa simba na yanga kesho hauna mwenyewe! Atayefungwa kataka mwenyewe! Yanga watakuwa bora sana kipindi cha kwanza! Hakika Simba watakimbizwa na mabeki wa simba wasifanye masihara kipindi...
4 Reactions
38 Replies
3K Views
Toka jumatatu mmekuwa nikipitia mitandao ya kijamii ikiwemo INSTA,TWEETER na uwanja wetu pendwa wa JAMIIFORUMS nimepata maswali mengi ambayo ningependa watani zangu mnijibu (Au ukiona aibu kujibu...
8 Reactions
32 Replies
3K Views
Siku ya kesho kunatarajiwa kuchezeshwa draw ya robo fainali ya ligi ya mabingwa ulaya, Europa pamoja na conference league. Hivyo sio mbaya wadau wa soka tukajadiliana na kutoa mitizamo mbalimbali...
14 Reactions
218 Replies
13K Views
Baadhi ya Wanahabari na Wachambuzi wa Soka nchini wamemtaka Afisa Habari wa klabu ya Simba, Ahmed Ally kuomba radhi kufuatia kauli yake ya kusema "Yanga ni kama maiti hivyo wanakwenda kuwakamua"...
3 Reactions
40 Replies
3K Views
Sasa ndiyo Nini kumpanga kipa namba tatu gem ya mtani kama siyo dharau? Eti unampanga Mzee Nyoni pale kati huwaogopi kina azizi ki aucho kina msondongoma jamani[emoji23][emoji23] halafu...
2 Reactions
14 Replies
893 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…