Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Wachang'ombe wa mchongo tunataka mzidi kuleta polimilai zenu dhidi ya Simba sc ila jueni Wydad anakwenda kupasuka nyumbani kwao.
7 Reactions
31 Replies
3K Views
Ali kamwe: " Kesho tuna mechi ngumu sana wala sio utani, Mimi ni Mtu wa kutamba sana lakini nimecheki kwenye darubini yangu kesho tuna mechi ngumu sana , kwanza tunacheza na timu yenye rekodi...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
AMRI KIEMBA|+ 🗣“Kwa mazingira na namna ambavyo hizi timu zilivyo [Simba na Wydad Casablanca] na kwa heshima ya mpira wa miguu Simba inaweza kushinda kwa Mkapa.” 🗣“Kwa takwimu sasa ndio unakuja...
8 Reactions
51 Replies
6K Views
Baada ya mke kupigwa siku chache zilizopita,kaanza kujishebedua kuwa yupo mmewe mkali kuliko ataweza kuwapiga,Cha kushangaza Leo na mme kala kichapo!! Sasa huyu mwanamke sjui anasemaje?
5 Reactions
16 Replies
1K Views
Wakuu salaamu Najua kuna watu wa karibu na kocha wa Simba sc, hivyo ujumbe huu utamfikia. Ni hivi Phiri ana kitu na ili afike mbali apewe mechi tatu mfululizo ili kumpa confidence. Sisi...
8 Reactions
16 Replies
3K Views
Kwa ushindi kiduchu waliopata leo ni wazi simba wamejikatia tiketi ya kufurushwa kwenye mashindano ya Caf champions league wale wydad sio watu wazuri kule morocco wakikosea kabisa ni 3 bila au 3 kwa 1
2 Reactions
12 Replies
937 Views
Leo April 22 kutapigwa mchezo mkali wa ligi ya mabingwa Africa ambapo Wenyeji Simba ya Dar es salaam watawakaribisha Wydad Casablanca ya pale Morocco. Mchezo wa Simba dhidi ya Wydad haijawahi...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Huyu ambaye anaongeya hapa ni casablanca mwenyewe Na Sema hivi mroge mrogavyo Washeni moto mjuavyo lakini kwangu unakula 3-1 ilo sio ombi ni sharti
0 Reactions
6 Replies
521 Views
Simba imeweka rekodi ya kuwa timu ya pili kutoa kipigo kikubwa kwa uwiano wa magoli katika Hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, ni baada ya kuichakaza Horoya AC magoli 7-0 kwenye Uwanja wa...
10 Reactions
20 Replies
6K Views
Imeisha hiyo
1 Reactions
21 Replies
1K Views
Nimekwazika sana tu kusikia ( tena kutoka kwa Msemaji Ahmed Ally akikiri hivi punde EFM Sports Headquarters na kusema zimechelewa tu kidogo kutokana na Masuala ya Fedha ) kuwa Wachezaji wa Simba...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Zimebaki mechi saba Arsenal awe bingwa wa Epl 2022/2023 Akitoa maoni yake beki wa zamani wa liverpool carragher amesema "wachezaji wa Arsenal wanajiona wadogo na wavulana kushindani taji ndio...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Wataje magwiji hawa, na utuambie kama uliwahi kuwaona wakicheza
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Today marks TEN YEARS since Manchester United last won the Premier League [emoji15] Leo imetimia miaka 10 tangu manchester united washinde kombe la ligi kuu uingereza. Mashabiki wa man u wenye...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Historia ina nafasi katika ushabiki lakini haina nafasi ndani ya uwanja. Maandalizi ndio kila kitu.
3 Reactions
9 Replies
971 Views
Tuliwaambia uto timu kubwa haijifichi, yaani timu kubwa inajulikana na kuogopeka si ndani ya nchi pekee, bali duniani kote. Last week makampuni ya betting yalimpa mnyama SIMBA odds kiduchu sana...
7 Reactions
23 Replies
2K Views
Ameandika Yericko Nyerere [emoji3578] "Hii haikubaliki kabisa, mgawanyo huu wa mapato ni wizi wa mchana kweupe. Klabu mwenyeji wa mchezo haiwezekani ipate karibu chini ya 30% ya mapato. Hebu...
6 Reactions
23 Replies
3K Views
Wasiojua Mpira walifanyiwa 50% tu ya Umafia huo na tarehe 16 April, 2023 Wakafa Goli 2 huku Wakikoswakoswa Goli 3 au 5 na sasa wameanza Kugombana Wenyewe kwa Wenyewe. Umafia waliofanyiwa...
13 Reactions
45 Replies
6K Views
Akiwa katika kipindi cha sports arena kupitia wasafi fm, mchambuzi wa michezo nchini, Edward Kumwembe amesema ana uhakika hata simba akishinda 3-0 kwa Mkapa jumamosi bado atatolewa na Wydad katika...
7 Reactions
67 Replies
5K Views
Brown (43) ambaye alikuwa analipwa mshahara wa Pauni 50,000 (Tsh. Milioni 145) kwa wiki ametangaza hali hiyo Mahakama Kuu ikiwa ni mwaka mmoja tangu kuvunjika kwa ndoa yake. Nyota huyo aliyedumu...
6 Reactions
38 Replies
6K Views
Back
Top Bottom