Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Kabla hata ya derby ya Simba na Yanga, kulizuka utata kuhusu upangwaji wa golikipa wa Simba Beno Kakolanya katika mechi muhimu za Simba wakati Aishi Manula akiwa majeruhi. Utata huu ulikuja baada...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Shirikisho la mpira wa miguu hapa nchini limetoa taarifa ya mapato ya Mchezo wa watani wa Jadi Simba na Yanga ambao ulifanyika jumapili iliyopita tarehe 16/4/2023, wadau mbalimbali wametoa maoni...
2 Reactions
53 Replies
7K Views
Hii ni kumbukumbu ambayo haitopotea katika tasnia yetu ya michezo baada ya msemaji wa Simba (Ahmedy Ally ) kuibua hoja mbele ya wadau na wapenda soka/ wapenda maendeleo wanaopigana usiku na mchana...
1 Reactions
75 Replies
3K Views
Hello bosses amd roses.. Hii kitu naiona sana hata kwenye media. Ukiachilia mbali hali ya urafiki/kuelewana iliokuwepo kati ya Lebron James na Marehemu Kobe Bryant (RIP) bado fans wengi wa Kobe...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Mashabiki wengi wa Soka la Tanzania especially kwa mashabiki wa Simba hawajui mpira. Wameijua Simba kipindi cha mafanikio ukiwauliza mwaka 2017,2016 nk, Simba ilikuwaje au Ina kikosi gani mtu...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Mechi imeingiza 410M then mwenyeji anapewa 100M na ushee? Karibu 240M zimepotelea kwenye makato. Yaani makato ni makubwa kuliko mtaji. Biashara kichaa! Hata mchanganuo haueleweki. Uwanja 47M...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Je Safari ya matumaini ya Simba SC itaishia Jumamosi hii! ? Yule tusiompenda kumsikia ameshatua Dar na wamesema hawaogopi Mvua, wamekuja kucheza mpira na sio kutafuta suluhu au kulinda. Wao...
3 Reactions
17 Replies
3K Views
Hii timu ikamilishe mchakato wa uuzwaji wake ili ipate utulivu wa kiutawala. Haiwezekani timu inakuwa kama pombe ya ngomani, tena kule uzaramoni kbs yeyote mwenye kata anachota tu. Timu limekuwa...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Mechi imeingiza 410M then mwenyeji anapewa 100M na ushee? Karibu 240M zimepotelea kwenye makato. Yani makato ni makubwa kuliko mtaji. Biashara kichaa.! Hata mchanganuo haueleweki. Uwanja 47M...
14 Reactions
27 Replies
3K Views
"Hii ni mechi ya kimataifa, hata kama Beno amesaini na Singida anatakiwa kuwa na weledi, Beno bado ni mchezaji wa Simba na anatakiwa kuwa Committed na Timu ya Simba na hususan hizi mechi muhimu...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Je unahisi Nani ataibuka na ushindi mnono. Tabiri matokeo yako tujuane. Simba 2-1 wydad Yanga 1-0 rivers Wewe je?
1 Reactions
8 Replies
968 Views
Mchezaji wa Paris Saint-Germain Achraf Hakimi amefunguliwa mashtaka ya ubakaji. Mwanamke mwenye umri wa miaka 24 amemshutumu Hakimi, ambaye pia ana umri wa miaka 24, kwa kumbaka nyumbani kwake...
4 Reactions
36 Replies
3K Views
Manchester City will battle with holders Real Madrid for a place in the Champions League final after knocking Bayern Munich out. season after missing a penalty as Manchester City drew 1-1 at...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Kushabikia hizi timu ni presha tupu. Zipo hovyo sana hizi timu huko Ulaya.
4 Reactions
42 Replies
2K Views
Timu ya soka ya Tottenham Spurs imetangaza kumfuta kazi Antonio Conte , Conte amefutwa kazi kutokana na mgogoro na wachezaji wake pamoja na mwenendo usioridhisha wa Timu hiyo. --- Picha: Antonio...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Simba Jumamosi saa 10 jioni itacheza mchezo wake wa Nusu Fainali dhidi ya Wydad. Simba itashinda mechi hiyo kwa sababu zifuatazo. 1. Simba haina cha kupoteza kwenye mechi hiyo kwa ivo itacheza...
20 Reactions
48 Replies
4K Views
Lucas Helmke (33) ameweka rekodi hiyo katika ukumbi wake wa mazoezi uliopo Brisbane kuvunja rekodi iliyowekwa na raia mwenzake wa Australia, Mwaka 2022. Kila push up ilibidi isiwe na dosari ili...
3 Reactions
13 Replies
3K Views
Nyota huyo wa zamani wa soka ameelezea nia yake hiyo ambapo mpango wake ni kushiriki katika muungano wa watu wanaoweza kuinunua klabu kwa kuwa yeye peke yake hana uwezo huo. Hiyo inamaana kuwa...
4 Reactions
7 Replies
2K Views
Takwimu zinaonyesha kwamba mara ya mwisho Yanga kuishinda Simba katika mechi ya Ligi ya Bara ni tarehe 03/07/2021. Hii ina maanisha kwamba Yanga imeshindwa kuifunga Simba na imekuwa mnyonge wa...
5 Reactions
24 Replies
2K Views
Kwa wale wanaofatilia Ligi ya Mabingwa Ulaya, na Ligi Kuu Italy yaani Serie A bila shaka wameshaiona ni jinsi gani Napoli wanavyoshambulia kama nyuki. Nikisema huvyo bila shaka mashabiki wa...
10 Reactions
65 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…