Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Nakumbuka yanga waliondoshwa kwenye mashindano ya klabu bingwa na Rivers baada ya kuchapwa goli moja bila kwa mkapa na kisha kufungwa tena moja bila kule Nigeria, Yanga walipoteza mechi zote mbili...
15 Reactions
21 Replies
2K Views
NI ndoto inayotisha. Pambano la Simba dhidi ya Wydad Casablanca ya Morocco ni ndoto inayotisha. Simba wametoka kufungwa jumla ya mabao 6-1 katika mechi mbili walizocheza na Raja, timu nyingine...
11 Reactions
29 Replies
4K Views
  • Poll Poll
Wakuu hebu tumalize huu ubishi wa muda mrefu kwa kupiga kura nani alikuwa mkali uwanjani katika suala zima la ufundi ndani ya uwanja na kuisaidia timu yake kati ya Zinedine Zidane na Ronaldinho...
7 Reactions
178 Replies
40K Views
24 April, 2023. Geita Gold FC vs Tz Prisons. Over.
0 Reactions
2 Replies
998 Views
Timu ya soka ya Tanzania Prisons maarufu kama Wajelajela yenye makazi yake jijini Mbeya, leo hii imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao matatu kwa moja dhidi ya Geita Gold fc. Mchezo huo ambao...
1 Reactions
5 Replies
826 Views
Kwenye Picha Hapa Chini Ni Machachari Anaye Chukiwa na Maadui Akiwa na Wenzake Katika Uwanja wa UYO AIRPORT. Watatu hawa walikuwa na wachezaji waenzao wakikwea pipa kurejea Bongo katika pambano...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Salam wakuu Katika ulimwengu wa uchumi Kuna kitu kinaitwa opportunity cost ambapo una sacrifice kimoja Ili kupata kingine Turudi kwenye uchambuzi wetu Katika kipindi hiki Yanga ilikuwa inapitia...
7 Reactions
109 Replies
6K Views
1. Fiston Mayele - 5 2. Kennedy Musonda -2 3. Jesus Moloko -1 4. Tuisila Kisinda -1 5. Mudathir Yahya -1 6. Farid Musa -1 Jumla ya magoli -11 Magoli ya kufungwa 4 Wapiga Assist wa Yanga SC...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Yanga wakiwa hawana mpira shape yao ilikuwa 5-3-2 ,lengo la kwanza lilikuwa ni kuwa na vitendo vingi vya kiulinzi(defensive actions) kwenye idara ya kiungo na ulinzi(zone A na B). Ile pembetatu...
8 Reactions
28 Replies
3K Views
Wananchi kama mnavyojiita tumieni concept hiyo niliyowapa haihitaji akili kubwa kuelewa ninachokimaanisha. Kubarini TU kuwa Mnyama sio level yenu, ndo maana baada ya mechi na Wydad wapo...
1 Reactions
1 Replies
285 Views
Y YANGA imeeleza sababu ya winga wake Bernard Morrison 'BM33' kutotumika kwenye mchezo wa kwanza robo fainali Kombe la Shirikisho dhidi ya Rivers United uliopigwa kwenye Uwanja wa Godswill Akpabi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Umebaki muda mchache kwa sisi mashabiki wa Rivers United fc kuwakanda vibonde wetu kutoka Tanzania, Yanga Afirika fc. Mashabiki wa Rivers United tukutane hapa mida ya saa 8 mchana kwa hapa Nigeria
0 Reactions
13 Replies
845 Views
[emoji3578]Anaandika ZAKAZAKAZI "Arsene Wenger, kocha wa zamani wa Arsenal, aliwahi kusema, When you give success to stupid people, it makes them more stupid Unapowapa mafanikio watu wapuuzi...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Kufungwa na simba mechi ilopita ilikuwa ni blessing in diguise. Yanga baada ya kufungwa mechi hiyo na watani wake wa jadi kocha alichambua udhaifu wa timu kiufundi kuanzia idara ya ulinzi...
3 Reactions
15 Replies
3K Views
Hiki kinachoendelea hapa TBC juu ya pambano la Mwakinyo sijui tukiite kitu gani. Mambo yako ovyo ovyo. Eti wapiganaji wa mapambano ya utangulizi ni wabunge, na spika juu tena kakimbia pambano dah.
1 Reactions
12 Replies
721 Views
Jean Baleke ni mchezaji mzuri lakini bado hatoshi kuisaidia Klabu katika nyakati ambazo Klabu inahitaji matokeo. Kwa aina yake ya uchezaji anaonekana ni mchezaji wa kuvizia vizia tu, anayekosa...
1 Reactions
28 Replies
4K Views
Huyu mchezaji mpya wa vipers kama kweli ana miaka 24, je, we ndugu mwana jamii sport utakuwa na miaka mingapi? Kwa hali hii me nina miaka 12, namiliki mke na mtoto mwenye umri wa mwaka mmoja.
2 Reactions
11 Replies
2K Views
1) Yanga imekuwa timu ya Kwanza (CAF) kuwafunga Rivers United nyumbani kwao. 2) Imekuwa timu ya kwanza kuwazuia Rivers Utd kufunga bao (CAF) wakiwa kwao Haya ni matokeo ya Rivers United wakiwa...
15 Reactions
34 Replies
3K Views
Wana JamiiForums nina hii hoja, ''Je Kuna ugumu wa private sector kujihusisha na uwekezaji wa mpira wa miguu nchini Tanzania?" Kuachana na hoja ya kwamba mpira haulipi lakini je kuna ''...
0 Reactions
0 Replies
381 Views
Kongole mtani kwa hicho kidogo ulichokipata pasipo kuwa na tegemezi/matarajio maana hiyo ni zaidi ya kujaribu kujiokoa kutoka kwenye Domo la mamba mwenye njaa Kali. NALIA NGWENA the great thinker...
8 Reactions
91 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…