Wafungaji Yanga SC Kombe la Shirikisho Afrika

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
10,305
12,803
1. Fiston Mayele - 5
2. Kennedy Musonda -2
3. Jesus Moloko -1
4. Tuisila Kisinda -1
5. Mudathir Yahya -1
6. Farid Musa -1

Jumla ya magoli -11

Magoli ya kufungwa 4

Wapiga Assist wa Yanga SC Kombe la Shirikisho Afrika

1. Kennedy Musonda - 3
2. Bakari Nondo - 2
3. Djuma Shabani - 1
4. Aziz Ki - 1
5. Jesus Moloko -1
6. Fiston Mayele -1

Jumla ya Magoli - 11

1682279108237.jpg


Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu mbona kama aziz ki alifunga goli kwenye ile game ya away na monastir?
 
FIston lazima achukue kiatu kotekote, hapo anaemfatia ni wa Rivers united ambayo imeshika kitasa tayari kwa kutoka nje.
Na bado hawajaja hapa ambapo lazima atupie 2 kimiani, jumla zinakua 7 na hakuna wakumfikia hapo hata asipocheza fainali.
Kweli kabisa mkuu akitupia mbili mwamba anachukua kiatu.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
1. Fiston Mayele - 5
2. Kennedy Musonda -2
3. Jesus Moloko -1
4. Tuisila Kisinda -1
5. Mudathir Yahya -1
6. Farid Musa -1

JUMLA YA MAGOLI -11

Magoli ya Kufungwa 4

WAPIGA ASSIST WA YANGA SC KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA

1. Kennedy Musonda - 3
2. Bakari Nondo -2
3. Djuma Shabani -1
4. Aziz Ki -1
5. Jesus Moloko -1
6. Fiston Mayele -1

JUMLA YA MAGOLI -11

View attachment 2597533

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Goli mbili za kombe la shirikisho au luzaz
Ni sawa na shot on target 1 ya klabu bingwa CAFCL
 
Mlianza na Tp Mazembe! Akaishia kupigwa nje ndani. Mkaja kwa Rivers! Na yeyw tayari ameshapigwa 0-2 nyumbani!

Na sasa mnahamia kwa Pyramids.
Kama nyinyi mlivyoanza na Utopolo akagongwa 2 safi kabisa ,mkahamia kwa wydad akagongwa vizuri tu ,sasa mmehamia kuwa kuke morocco hamtoki
ahmedally_-20230424-0001.jpg
 
Back
Top Bottom