Zakazakazi amjibu Ahmedy Ally (msemaji wa Simba) kwa fact /nondo mujarabu

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
10,288
12,789
Anaandika ZAKAZAKAZI

"Arsene Wenger, kocha wa zamani wa Arsenal, aliwahi kusema,

When you give success to stupid people, it makes them more stupid

Unapowapa mafanikio watu wapuuzi, huwafanya wawe wapuuzi zaidi.

Bwana mdogo @ahmedally_ anathibitisha kauli hii ya gwiji Wenger.

Mafanikio ya kufika robo fainali hizi mbili tatu yamemfanya awe mtu wa ajabu sana kiasi cha kutoa kauli zenye aibu kwa mpira.

Anasema hawana mpango na Kombe la Shirikisho kwa sababu ni dogo na zinashiriki timu mpya mpya.

Hebu tuanze kuangalia timu zilizofika robo fainali tangu msimu wa 2018/19 ambao Simba walianza kufika robo fainali za CAF

2018/19

Zamalek (1911)
RS Berkane (1938)
Étoile du Sahel (1925)
CS Sfaxien (1928)
Nkana FC (1932)
Al-Hilal (1930)
Hassania d'Agadir (1946)
Gor Mahia (1968)

2019/20

Pyramids (2008)
RS Berkane (1938)
Horoya (1975)
Hassania d'Agadir (1946)
Zanaco FC (1978)
Al-Nasr Benghazi(1954)
Al Masry (1920)
Enyimba (1976)

2020/21

JS Kabylie (1976)
Coton Sport (1986)
Raja (1949)
Pyramids (2008)
ASC Jaraaf (1933)
Orlando Pirates (1937)
Enyimba (1976)
CS Sfaxien (1928)

2021/22 - msimu wa moto
RS Berkane (1938)
Orlando Pirates (1937) - jeshi la zima moto
TP Mazembe (1939)
Al Ahli Tripoli (1950)
Simba S.C.(1936) wawasha moto
Al Masry (1920)
Pyramids (2008)
Al-Ittihad Tripoli (1944)

2022/23

Yanga (1935)
Asec (1935)
Rivers United (2016)
USM Alger (1937)
AS FAR (1958)
US Monastir (1923)
Marumo Gallants (2021)
Pyramids (2008)

Katika misimu hiyo mitano, jumla ya timu 32 zilifika robo fainali mara moja huku 8 zikijirudia zaidi ya mara moja.

Zenye umri mdogo zaidi ni tatu tu, Pyramids (2008), Marumo Gallants (2021) na Rivers United (2016).

Timu 10 zimeizidi umri Simba, zilizobaki zimepishana kidogo tu na timu ya Ahmed, lakini zina mafanikio makubwa zaidi Afrika.

Timu kama Coton Sport ya Cameroon, ilianzishwa 1986 lakini imeshafika hadi fainali ya ligi ya mabingwa...timu ya Ahmed haijawahi...inaishiaga robo tu.

Enyimba na Mazembe ndiyo usiseme...mbingu na ardhi kulinganisha na timu ya Ahmed.

Jeuri ya kusema Kombe la Shirikisho lina timu mpta anaitoa kwenye kauli ya Arsene Wenger...

Wale Makhirikhiri Jwaneng Galaxy waliovuaga jezi kwa Mkapa, walianzishwa 2014!"

Nini maoni yako??
 
Mtu mpaka anafungiwa asifanye kazi ujue ana matatizo mtu kama huyo hawezi kuwa na akili ya sisi kujadili hoja yake
 
Ukiwaangalia mambumbumbu a.k.a makolo walivyo utagundua huu msemo unawahusu kwa 100%

"When you give success to stupid people, it makes them more stupid"
 
Anaandika ZAKAZAKAZI

"Arsene Wenger, kocha wa zamani wa Arsenal, aliwahi kusema,

When you give success to stupid people, it makes them more stupid

Unapowapa mafanikio watu wapuuzi, huwafanya wawe wapuuzi zaidi.

Bwana mdogo @ahmedally_ anathibitisha kauli hii ya gwiji Wenger.

Mafanikio ya kufika robo fainali hizi mbili tatu yamemfanya awe mtu wa ajabu sana kiasi cha kutoa kauli zenye aibu kwa mpira.

Anasema hawana mpango na Kombe la Shirikisho kwa sababu ni dogo na zinashiriki timu mpya mpya.

Hebu tuanze kuangalia timu zilizofika robo fainali tangu msimu wa 2018/19 ambao Simba walianza kufika robo fainali za CAF

2018/19

Zamalek (1911)
RS Berkane (1938)
Étoile du Sahel (1925)
CS Sfaxien (1928)
Nkana FC (1932)
Al-Hilal (1930)
Hassania d'Agadir (1946)
Gor Mahia (1968)

2019/20

Pyramids (2008)
RS Berkane (1938)
Horoya (1975)
Hassania d'Agadir (1946)
Zanaco FC (1978)
Al-Nasr Benghazi(1954)
Al Masry (1920)
Enyimba (1976)

2020/21

JS Kabylie (1976)
Coton Sport (1986)
Raja (1949)
Pyramids (2008)
ASC Jaraaf (1933)
Orlando Pirates (1937)
Enyimba (1976)
CS Sfaxien (1928)

2021/22 - msimu wa moto
RS Berkane (1938)
Orlando Pirates (1937) - jeshi la zima moto
TP Mazembe (1939)
Al Ahli Tripoli (1950)
Simba S.C.(1936) wawasha moto
Al Masry (1920)
Pyramids (2008)
Al-Ittihad Tripoli (1944)

2022/23

Yanga (1935)
Asec (1935)
Rivers United (2016)
USM Alger (1937)
AS FAR (1958)
US Monastir (1923)
Marumo Gallants (2021)
Pyramids (2008)

Katika misimu hiyo mitano, jumla ya timu 32 zilifika robo fainali mara moja huku 8 zikijirudia zaidi ya mara moja.

Zenye umri mdogo zaidi ni tatu tu, Pyramids (2008), Marumo Gallants (2021) na Rivers United (2016).

Timu 10 zimeizidi umri Simba, zilizobaki zimepishana kidogo tu na timu ya Ahmed, lakini zina mafanikio makubwa zaidi Afrika.

Timu kama Coton Sport ya Cameroon, ilianzishwa 1986 lakini imeshafika hadi fainali ya ligi ya mabingwa...timu ya Ahmed haijawahi...inaishiaga robo tu.

Enyimba na Mazembe ndiyo usiseme...mbingu na ardhi kulinganisha na timu ya Ahmed.

Jeuri ya kusema Kombe la Shirikisho lina timu mpta anaitoa kwenye kauli ya Arsene Wenger...

Wale Makhirikhiri Jwaneng Galaxy waliovuaga jezi kwa Mkapa, walianzishwa 2014!"

Nini maoni yako??
AHMED HAAMINI MACHO YAKE KWAMBA YANGA WALEE TWARUKA PRUUUUU!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom