Mpaka sasa klabu ya Petro de Luanda kutokea nchini Angola ndiyo inayoongoza kwenye msimamo wa Kundi D, michuano ya CAF Champions League hatua ya makundi mara baada ya kuitandika Simba SC chuma...
GT
Mpira wa Tanzania upo ukingoni. Kilichoikuta TP Mazembe na AS Vita kinaenda kutoka TZ belive me.
Watz tupo busy na nchi yetu hadi tupate katiba mpya sure I tell you. Kwa sasa tumeyasusia...
Kutaja wachambuzi list hapa tz niwengi sana yani unaona kabisa uchambuzi wao ubalance yani kuonesha hisia zao zipo wapi kwenye saisa,mlengo gani,kuwa upande gani.
Katika siku ambayo nilimuona...
Wiki moja kabla ya Mechi ya Jana nilianzisha Uzi hapa Kuonya na kusema kuwa tunafungwa ila Wapumbavu wasiojua Mpira na Wao Mahaba Niue kwa Simba SC yamewatawala Vichwani mwao wakaanza Kunibeza na...
Salut kwenu great thinkers wote wa JF.
Kama ilivyoada jana nimepandisha Uzi humu jukwaani kuiombea Mabaya klabu ya YANGA ili apoteze game yake dhidi ya Far Rabat ila Dua yao ikawa kubwa kushinda...
Salut sana waungwana wa JF.
Awali ya yote kabisa NaDECLAIRE INTEREST, mimi nilikuwa shabiki kindaki ndaki kabisa wa hii timu kongwe hapa nchini, ila kwa sasa soccer la bongo silipendi kabisa...
“Hali inazidi kua mbaya. Ata baada ya mapunziko marefu ya EPL bado kuna team zinapwetapweta.
Walibebwa sana misimu iliopita na system ila sasa ukweli unajiweka wazi. “
-Kuna mlevi anaongea hapa...
Haya CRDB wamemwaga mboga Baada ya Ally kamwe kumwaga ugali
TFF na Bodi ya Ligi kuna changamoto Kubwa sana, haya njooni miwape majibu Yanga SC pesa mmepeleka wapi?
Pia soma > Ali Kamwe...
Jana kwenye mechi ya Yanga na ASFAR nimeona uwanja wa Aman Complex ukiwa umejaa nusu tu, na kwa sehemu kubwa watazamaji walikuwa ni ndugu wa Abdul.
Ndiyo kusema watanganyika waliokwenda...
Wote tuliguna pale makundi ya CHAN yalivyotangazwa. Kenya alipangwa kundi ambalo tulidhani asingetoboa ila mwisho wa siku ameshinda mechi mbili akiwa anacheza pungufu na kamaliza hatua ya mwanzo...
Mabingwa wa Tanzania, Yanga leo wanaanza kucheza mechi ya kwanza dhidi ya Far Rabat ya Morocco katika mechi ya kwanza ya group B, katika mechi itakayochezwa kwenye uwanja wa Amani Complex, Zanzibar
Sometimes Kuna muda saa mbovu husema ukweli
Gb64 kammyooshea mikono pacome anasema kwa ligi ya tanzania kashindikana hakuna wa kumgusa pacome
.....Nb tuendelee kulinda amani ya Tanzania
Tanzania imeporomoka kwa nafasi tano kwenye viwango vya ubora vya Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) katika chati ya viwango ya mwezi Novemba.
Kichapo cha mabao 4-3 ambacho timu ya Taifa...
Baadhi ya Mashabiki wa Simba waliojilipia nauli zao kusafiri kwenda kuipa support timu yao Nchini Misri
Kila shabiki amejilipia Dola 1200 sawa na Milioni 3,126,000.
Hili swala la Serikali...
https://www.threads.com/@karokiatv/post/DRUuRngkaks?xmt=AQF0qSZRkYNPyQHdyL2_Lz60WfZ1NwU0wX78-C5CohLqe9mQewGNDs7VZzcR95Va_jwHq_yW&slof=1
Huyu mganga bwege hana akili na Yanga hatumlipi kama ana...
Msemaji mkuu wa Serikali Gerson amesema Tuzo ya heshima ya Rais ni Tuzo ya watanzania wote kwa jumla na si yake peke yake.
Soma Pia: Samia atunukiwa Tuzo ya Maalum na CAF, kwa kutambua mchango...
Goli la mama limelipa ndio tuseme hivyo, na timu nne kwenda hatua ya makundi Klabu Bingwa Afrika na Kombe la Shirikisho
===================
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu...