Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

RIVERS FC, "Mwana kuli-find, mwanakuli-get". Hatimaye tumemalizana. Mlitutoa, tumewatoa, tunasonga mbele... WE ARE YOUNG AFRICAN..!! Kisasi kimeisha... Kwa hili poleni sana, ndivyo Mpira ulivyo...
3 Reactions
12 Replies
812 Views
Mpira umeshaanza tayari kila timu zinatafutana
4 Reactions
129 Replies
9K Views
Uamuzi wa Kenya, Uganda na Tanzania kushirikiana kutaka kuandaa mahsindano ya AFCON kwa pamoja ni uamuzi mzuri sana ambao utasaidia kuendelea kuzitangaza nchi zetu siyo kimpira tu bali hata...
3 Reactions
1 Replies
567 Views
Jana nchi ya Morocco ilipata watalii millioni 89. Hatujui uraia wao, hatujui tabia zao, hatujui wameoa au kuolewa, ila tunafahamu jambo moja tu kuhusu watalii hawa, wanapenda soka na jana mechi ya...
8 Reactions
31 Replies
2K Views
Najua maumivu waliyonayo upande wa pili ni makali sana, wivu ukijumlisha na chuki vinawafanya wawe na hali mbaya sana zikiwemo stress za kujitakia. Pamoja na hayo yote bado ukweli unaendelea...
1 Reactions
0 Replies
852 Views
Japo tumeshinda na hapa natoa pongezi kwa wote, wachezaji, makocha na viongozi lakini ukweli ni kwamba yanga bado sana, ama hatuna wachezaji wa kutufikisha fainali au mbinu zetu ni za kizamani...
1 Reactions
9 Replies
636 Views
Kama unafuatilia mtandaoni account za CAF champions league, tangia Simba imeanza kufanya vizuri mashindano ya kimataifa, ni kama CAF au wanaoendesha account za CAF wana ushabiki fulani kwa Simba...
34 Reactions
53 Replies
5K Views
Habari za Mei Mosi wana JF wenzangu. Mimi ni mshabiki kindaki ndaki wa timu ya Yanga. Nilianza kuipenda Yanga kwa sababu mama yangu pia alikua mshabiki mzuri sana wa timu hii. Pia kulikua na...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Poleni wa Tanzania binafsi nimehuzunishwa pia nmefurahishwa na matokeo Nadhani Sasa tumeona kuwa Simba mechi za ugenini hasa zile ngumu bado ni weupe sana Baleke kagusa mipira mitatu ndani ya dk...
15 Reactions
123 Replies
4K Views
Salaam wakuu, BIla Shaka Leo ndio Ile siku ambayo YANGA inaenda kuandika HISTORIA kubwa katika nchi hii Kwa kufuzu hatua ya nusu fainali ya KOMBE LA SHIRIKISHO na waTanzania Leo tunaenda kuwa...
6 Reactions
21 Replies
2K Views
Na ndiyo maana wenye Akili kwa Kuujua Ugumu wa Kombe husika ( CAFCL ) na hatua ambayo Simba SC imefikia na kwa Kufa Kiume Juzi kwa Wydad Casablanca FC mpaka Waarabu wanaacha Kushangilia Wanasali...
3 Reactions
30 Replies
2K Views
Ni siku ya kipekee siku ya kihistoria katika soka la nchi yetu ambapo tunaweza kushuhudia timu kutoka Tanzania kwa mara ya kwanza ikitinga hatua ya nusu fainali ya kombe la shirikisho barani...
17 Reactions
1K Replies
55K Views
Nyuzi Nyingi sana zinaandikwa kuisifia Simba eti ni kubwa Afrika na jana imeonyesha kua ni giant😂😂. Machizi kweli nyie na kama unasoma huu uzi una hilo wazo huo ni uchizi pia. Hivi Team gani...
20 Reactions
99 Replies
6K Views
Mpira wa leo ama kwa hakika ulikuwa wa hesabu za kutotumia akiba yote, Nabi alifunga full busta ugenini ili kumaliza kazi mapema na hesabu zake zimemlipa leo. Leo hii Yanga wamecheza mpira wa...
7 Reactions
16 Replies
1K Views
Hii timu kwa msimu huu imezidi kuwa tishio kwenye CAF champions league. Uwanjani wanakupa kila unachokitaka, mpira mzuri, umiliki wa mpira, magoli mazuri na matokeo mazuri. Naweza kusema...
8 Reactions
36 Replies
2K Views
Kila mtu anajua kuwa Mmii mwarabu feki ni shabiki wa kutupwa wa Mnyama Simba S.C na Hilo nimelithibitisha Kwa nyuzi zangu nyingi humu jamvini. Kitendo cha Yanga kutinga nusu fainali ya michuano...
2 Reactions
12 Replies
893 Views
Katoka fuatilia yangu ya hivi karibuni, nimegundua historia fulani ya mafanikio ya Simba ama imesahaulika au inafichwa kwa maksudi. Wengi wamejikita kwenye mafanikio ya mfululizo ya kufika robo...
7 Reactions
39 Replies
19K Views
Poleni sana kwa maumivu makubwa licha ya kufanikiwa kulinda magoli yenu mliyoshinda ugenini. Wengi mlitarajia leo mtashinda angalau goli 3 ili kuwapungunzia maumivu ya michomo miwili ya kibabe...
1 Reactions
9 Replies
721 Views
Hizi M10 za mama walijua nini kama hakutakua na magoli...???
1 Reactions
5 Replies
687 Views
Njia rahisi kwa Mabingwa wa muda wote wa Tanzania kutwaa ni kumaliza mechi ya mwisho wakiwa nafasi ya pili katika kundi. 1. US Monastir 2. Young Africans SC 3. Real Bamako 4. TP Mazembe...
22 Reactions
75 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…