Nimeshuhudia Maandalizi mengi ya Klabu ya Yanga hasa ikicheza Michuano ya Kimataifa ila sijawahi kuyaona Maandalizi haya Kabambe na Kufuru yaliyofanywa kuelekea Mechi yao ya Marudiano na Rivers...
Hali ya usalama imezidi kuzorota nchini Sudan baada ya kutokea mapigano ya wenyewe kwa wenyewe. Kila shughuli ya kibinadamu imesimama. Wasiohusika na vita wanakimbia kunusuru maisha yao.
Hali hiyo...
Jamani Tanzania yote sio Simba na Yanga au Mamipira yenu so mtuache na makelele yenu na matarumbeta, filimbo cjui manini tena. Mnakera sio wote tunapenda mpira so tuheshimiane coz wote tukianza...
UONGOZI wa Klabu ya Fountain Gate FC, imemripoti kwenye Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Mwenyekiti wa timu ya Kitayosce FC, YUSUPH KITUMBO, kwa tuhuma za kuwarubuni wachezaji...
Nimefurahishwa na Uzalendo na Umoja wanao uonyesha mashabiki wa Simba kuungana na Mashabiki wa Yanga kuipa nguvu timu yetu ya Yanga, Kudos.[emoji1666]
Hasa GENTAMICINE THE KING na OKWI BOBAN...
Viongozi wa Yanga mwambie ukweli kocha Nabi kuwa klabu ya simba ilikwishacheza nusu fainal klabu bingwa na fainal kombe la shirikisho inaonekana haijui vizuri Simba.
Kama alikuwa anadhani yeye...
Kwa tulisoma Saikolojia na hata kuwa Wakufunzi / Walimu tukiona Mwanafunzi anamwelewa Mwalimu kwa muda mfupi huamini huyo Mwalimu ni mahiri ila tukiona kuna Mwalimu kaeleweka na Wanafunzi kwa muda...
Mapungufu haya yafanyiwe Kazi ili Simba SC ya Msimu ujao iwe Moto na tusizoeleke kuishia Robo Fainali CAFCC
1. Kocha Robertino asiwe Mzito au Muoga kufanya Sub kama anavyoonekana na alivyofanya...
Ni msimu mwingine wa Ligi ya Mabingwa Africa. Leo hapa nyumbani Tanzania ni sikukuu kwa wapenda kandanda hasa soka la kuvutia, Samba Loketo.
Wawakilishi wa Tanzania, katika michuano ya Ligi ya...
[emoji3][emoji3]
Huwa nahisi wanayanga mnaonewa ila kumbe ni nyie ndo mnazingua.
Kabla ya game ya Leo mlisema Mnyama atakufa goli nyingi tu, baada ya game mmebadiri gia angani kwa kudai Wydad...
Thamani ya kikosi, ubora na ukubwa wa Wydad ilitegemewa Wydad wangepata ushindi mnono wa zaidi ya goli tatu lakini haikuwa hivyo.
Well done kwa Simba hakika wameonesha uwezo mbele ya Wydad AC...
NALIA NGWENA the big fan of Simba sc (shabiki Lia Lia).
Nimeona itakuwa siyo desturi/ utamaduni mzuri Kama sijaimwagia/ kuipa maua yake Simba sc.
Hakika inastahili kupewa maua yake tusisubiri...
Baada ya mchezo wa simba vs vipers zimeibuka nyuzi humu za kuanza kumpamba chama, yaani Kama hufatilii mpira wa bongo unaweza ukadhani ronadinho amezaliwa bongo au mess kaja kucheza simba kwa...
Bahati nzuri na bahati mbaya zipo kwa uiwiano na kiwango sawa kutokea. Kama Yanga walikuwa na bahati kuzitumia nafasi zao 2 kupata mabao, hivyohivyo Rivers wanaweza kubahatika kugeuza nafasi...
Bila kupepesa macho NALIA NGWENA naweka pembeni ushabiki wangu natoa ya rohoni nakuwapa maua wachezaji vitasa waliokipiga kwa kujitoa kwa asilimia moja.
Kwanza nimpongeze Mzamiru Yasin (kiungo...
Hello bosses and roses.
Huyu kijana anachezea Memphis ni hatari, aina yake ya mchezo ni ngumu sana kuiona kwa wachezaji wengine sasa na miaka kadhaa iliopita. Na bado ni kijana mbichi, 23 years...
Ndiyo ni kweli tumetolewa rasmi Robo Fainali ya CAFCC lakini kilichofanyika na Wachezaji wa Simba SC ni zaidi ya Ushujaa hivyo waitwe Bungeni kupewa Heshima ya Ushujaa.
Hongereni mno na Asanteni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.