Mayele asifananishwe na yeyote hapa Tanzania

Mangi shangali

JF-Expert Member
Feb 9, 2023
533
817
Habari zenu...

Kuna vitu vina Shangaza sana,hivi unapataje nguvu yakumfananisha mayele na hao wachezaji wenu wa mchongo.

Tulifurahia John bocco alipofikisha magoli 100, tukashindwa kuelewa kuwa hayo magoli yote ni ya misimu 6 kwanzia azam hadi leo yupo simba.

Sasa kuna mwanaume anaitwa fistoni kalala mayele sasa kashafikisha magoli 50 na hayo magoli niya misimu 2 tu toka ajiunge na yanga.

Ebu imagine akiendelea kuchezea yanga kwa misimu 6 siatafikisha magoli 300?

Alafu kuna watu wanajitekenya wenyewe alafu wanacheka. Mayele asifananishwe na kinyago yeyote hapa Tanzania.

Leo tunafunga mjadala wa kumfananisha mayele na vinyago wenu. Mangi shangali hapa
 
Msipofuzu leo sijui uso wenu mtauweka wapi
 
Tulifurahia John bocco alipofikisha magoli 100, tukashindwa kuelewa kuwa hayo magoli yote ni ya misimu 6 kwanzia azam hadi leo yupo simba. Sasa kuna mwanaume anaitwa fistoni kalala mayele sasa kashafikisha magoli 50 na hayo magoli niya misimu 2 tu toka ajiunge na yanga.
Aliyefikisha 100 ameshafikisha. Aliyefikisha 50 hajafikisha 100 na hatujui kitakachompata mbele kama atafikisha au atashindwa kucheza kabisa mpira. Rekodi huwa inaangaliwa iliyopo, sio inayotarajiwa kuwepo
 
Habari zenu...

Kuna vitu vina Shangaza sana,hivi unapataje nguvu yakumfananisha mayele na hao wachezaji wenu wa mchongo.

Tulifurahia John bocco alipofikisha magoli 100, tukashindwa kuelewa kuwa hayo magoli yote ni ya misimu 6 kwanzia azam hadi leo yupo simba.

Sasa kuna mwanaume anaitwa fistoni kalala mayele sasa kashafikisha magoli 50 na hayo magoli niya misimu 2 tu toka ajiunge na yanga.

Ebu imagine akiendelea kuchezea yanga kwa misimu 6 siatafikisha magoli 300?

Alafu kuna watu wanajitekenya wenyewe alafu wanacheka. Mayele asifananishwe na kinyago yeyote hapa Tanzania.

Leo tunafunga mjadala wa kumfananisha mayele na vinyago wenu. Mangi shangali hapa
Vuta bangi bila pupa, John bocco ana goal zaidi ya 100 kwenye ligi kuu ya Tanzania .Mayele afikishe 100 tumfananishe na bocco, hata 50 hajafikisha, usikimbie kuandika kisa una bandle.
 
Zaidi, amejumlisha na yale ya kushikiwa kwa bahasha?
 
Vuta bangi bila pupa, John bocco ana goal zaidi ya 100 kwenye ligi kuu ya Tanzania .Mayele afikishe 100 tumfananishe na bocco, hata 50 hajafikisha, usikimbie kuandika kisa una bandle.
Wewe ndo unakurupuka soma uzi tena mbwa weweee
 
Habari zenu...

Kuna vitu vina Shangaza sana,hivi unapataje nguvu yakumfananisha mayele na hao wachezaji wenu wa mchongo.

Tulifurahia John bocco alipofikisha magoli 100, tukashindwa kuelewa kuwa hayo magoli yote ni ya misimu 6 kwanzia azam hadi leo yupo simba.

Sasa kuna mwanaume anaitwa fistoni kalala mayele sasa kashafikisha magoli 50 na hayo magoli niya misimu 2 tu toka ajiunge na yanga.

Ebu imagine akiendelea kuchezea yanga kwa misimu 6 siatafikisha magoli 300?

Alafu kuna watu wanajitekenya wenyewe alafu wanacheka. Mayele asifananishwe na kinyago yeyote hapa Tanzania.

Leo tunafunga mjadala wa kumfananisha mayele na vinyago wenu. Mangi shangali hapa
Magoli 100+ ya Bocco ni ligi kuu pekee, achana na makombe mengine. Ligi kuu Mayele hadi sasa hivi ana goli 31 tu. Ameachwa mbali mno na Kagere pamoja na Okwi. Kagere, Bocco na Okwi wameshafunga 20+ msimu moja ligi kuu pekee
 
Back
Top Bottom