Magoli mchezaji aliyempigania na anakula nae ni Joshua Mutale budo. Lazima aanze piga ua. Na Fadlu kuondoka tu kawashika wasouth wawili. Za ndani kabisa.(kwa mujibu wa za ndani kabisa)
Mpanzu ni...
Klabu ya Manchester United imeamua kuendelea kubaki na Erik ten Hag na tayari mazungumzo ya mkataba mpya yameanza na Kocha huyo ambaye iliaminika atafukuzwa kazi kutokana na kufanya vibaya katika...
Nimemnukuu msemaji wa simba ambaye uwa namuweka kwenye kundi la comedian aliwai kusema Kuna katimu kazi yake ni kugawa utamu tu kwenye kundi lake!
Maneno hayo alikuwa anailenga yanga kabla...
Mwenye macho aambiwi tizama, na mwenye masikio anasikia, hivyo ndivyo unavyoweza kusema juu ya mabingwa wa kihistoria nchini Tanzania Yanga!
Siku zote form uwa inakuja na kupotea lakini class uwa...
Sasa mtanielewa kwa haya Matokeo na hapo bado. Siyo kila Mchezaji anafaa kuwa Nahodha na kubalini kuwa kuna Watu wana Nyota ya Mafanikio na Nyota za Nuksi na kwa Mtaalam kama Mimi nilishaiona Siku...
Kampuni ya Konami Digital Entertainment LTD, imefurahi kutangazwa Kwa Game ya EFOOTBALL imeshinda Kategoria ya "Best ongoing category" kwenye soko la Play store Kwa mwaka 2025.
Kila mwaka...
Ahueni kwa Simba SC katika haya Mashindano ya CAFCL ni kushinda Mechi yake ijayo ili kurejesha Saikolojia ya Wachezaji kuelekea Mechi zingine Nne (4) zitakazosalia.
Ila kwa tunaojua Mpira hasa...
Naomba sana kwa mungu hili timu lifungwe limekosa utu mashabiki zake wameuwawa kinyama hata kupost tu halijapost salamu za rambi rambi haya matimu simba na yanga Mimi nayachukia sana Kwa...
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania, Wallace Karia amesema kuwa amefurahishwa zaidi na bao la Clement Mzize lililoshinda Tuzo ya Bao Bora Afrika mwaka huu kuliko lile la nyota wa zamani...
Nyota wa Wydad AC, Stephane Aziz Ki amekimbizwa hospitalini Mjini Zanzibar baada ya Mchezo dhidi ya Azam FC wa Kombe la Shirikisho hatua ya Makundi, huku ikiripotiwa kuwa hali yake ni mbaya.
Aziz...
Rais wa klabu ya Azam Nassor Idrissa Leo Novemba 29 ameshinda nafasi ya mwenyekiti wa bodi ya ligi TPLB baada ya kumshinda Mwenyekiti wa Namungo CPA Hosea Lugano.
Nassor Idrissa ameshinda nafasi...
Haji Manara aka Haji Matrophy . Shareef El Buggati. Shareef Makombe.
Shareef Makarama.
Yanga itapaa kwa viwango vya juu sana. INJINIA na Haji sasa mambo powa.
Alichokisema Haji ni kwamba...
“ Kuna watu wanajiona bila wao baadhi ya Mambo ndani ya Simba hayawezi kwenda nadhani wanatatizo la afya ya akili . Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi Simba Sc Crescentius Mgori, akizungumza...
Kabla Mods hamjakimbilia Kuushusha Uzi naomba msome kwanza , muangalie na Source ya habari Hii , naweka Link.
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Simba msimu wa mwaka 2020/2021 , Bwana Muhina Kaduguda ametoa...
Taarifa kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) inaufahamisha umma wa watanzania kuwa hafla iliyokuwa ifanyike Desemba 05 imeahirishwa 'kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wao'...
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Leo Novemba 26 limeufungia Uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga kutumika kwenye michezo ya Ligi kutokana na kukosa vigezo vya kikanuni na kisheria...