Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Ten Hag ‘achanganyikiwa’ kwa kukosa timu ya kumnunua Harry Maguire na wengine kadhaa Kocha wa Manchester United, Erik ten Hag yupo anaumizwa kichwa na hali ya klabu yake kushindwa kuwauza...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Draw ya Uefa Champions League inafanyika sasa kutoka jijini Monaco nchini Ufaransa Jiunge Nami kukuletea Draw hiyo Je chama lako litapangiwa na nani? Group A: Bayern Munich, Manchester United...
6 Reactions
24 Replies
4K Views
Hizi ndizo baadhi ya timu dhaifu ambazo zitaingia makundi na zote zitawekwa port 4 na 3 isipokuwa MAZEMBE =>Medeama/ Horoya =>Big bullet/ To Mazembe =>Al Ahly Benghazi/ ASEC Mimosas =>Real...
11 Reactions
34 Replies
3K Views
Kama ilivyokuwa kwenye mkeka wa Teuzi za Mawaziri na Makatibu wa Wizara mbalimbali kutoka baadhi ya Waheshimiwa walikuwa bize kuangalia kama wametokea kwenye mkeka huo ndivyo ilivyokuwa kwa wadau...
5 Reactions
22 Replies
3K Views
Kwa mwendo wa kipigo cha 5G kwa timu pinzani, ligi ya NBC, ambacho Yanga inakitoa, na ndio mwanzo wa kikosi kinajengwa na Timu mpya ya ufundi, chini ya kocha Gamondi. Nashauri: Yanga ipangiwe...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Dakika 84 Hawa jamaa wamemvimbia singinda mpaka saivi,kumbe sio wepesi, Azam angeweza kufugwa au kudroo nao, Ile mechi irudiwe
5 Reactions
8 Replies
2K Views
Droo ya Raundi ya Tatu ya Kombe la Carabao Cup imepangwa ambapo timu kadhaa za Premier League zimepangwa kukutana kuwania taji hilo ambalo bingwa mtetezi ni Manchester United. Mechi...
6 Reactions
3 Replies
1K Views
Kumekuwa na kelele nyingi sana kuhusu Simba kucheza mpira usiovutia, au wengine wanaita papatu papatu. Kuna wengine wamekuwa wanasifia uchezaji wa Yanga hivi sasa. Ngoja niwagusie mbinu mojawapo...
5 Reactions
7 Replies
7K Views
Kutokana na ubora wa Max, Yao, Aziz Kii na Pacome ni dhahiri kunawakera sana SIMBA NA AZAM. Rai yangu ni Yanga ifanye kila iwezavyo kuwalinda hawa wachezaji ili kuepusha KUHUJUMIWA kama...
17 Reactions
49 Replies
3K Views
Nimeona wanatrend sana ni nini haswa kinaendelea? 😂😂😂 Kuna mmoja hapo alipiga hatrick timu ina wachezaji wanne 😂
6 Reactions
15 Replies
2K Views
Kiukweli ni jambo liliniumiza kichwa baada ya wachezaji kadhaa kutangazwa kuachwa au kuruhusiwa waende wapendapo. Yannick bangala - Huyu tuwe wakweli alikuwa bora sana msimu uliopita licha ya...
23 Reactions
32 Replies
4K Views
Magolikipa wa NBCPL wanaweza kujifunza mambo kadhaa kutoka kwa Diara. Katika mechi ya jana kati ya Yanga vs JKT kuna mipira ilipigwa kwa Diara ikaokolewa vizuri, lakini ikawa na madhara kwa...
12 Reactions
20 Replies
2K Views
Mbona hakuna mwendelezo? Je alibahatisha kama George Mpole? Je TFF walimtumia kumkomoa Mayele kama walivyofanya msimu wa mwaka juzi? Nje ya mada Mnaonaje Boss la DP World nikipewa timu ya Yanga...
4 Reactions
43 Replies
3K Views
1. Wana Uyanga mwingi 2. Wana Unafiki 3. Wana Dharau 4. Tajiri yao hashauriki 5. Laana ya Usaliti inawagharimu 6. Wachezaji wao wanaikamia zaidi Simba na siyo Yanga 7. Wana Ushamba unaowaponza...
14 Reactions
50 Replies
4K Views
Yanga SC ni Wajanja na wana akili sana kwani kwa Miaka hii Miwili kila Kipindi cha Usajili kikifika tu Wanajifanya Kutangaza kumtaka Mchezaji fulani na Simba SC kwa Upumbavu wetu (narudia tena kwa...
37 Reactions
78 Replies
8K Views
Salaaam Wanamichezo Ngoma ilianzia katikati ya msimu wa mwaka jana bwana mdogo Feisal aliejiona ni mkubwa kuliko timu akaambiwa dogo tulia huu ukubwa tumekupa sisi, na sisi tunaweza bila ya wew...
21 Reactions
24 Replies
2K Views
"Nimepigwa na huyu Bondia Golola kwakuwa nimegundua ni Mganga wa Kienyeji, kwani nilikuwa naona mauzauza tupu ulingoni. Leo mnaniletea Mganga wa Kienyeji ipo siku mtaniletea hata majini ili...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Bado naendelea kutafakari Kiwango cha Hafiz Konkoni. Sina baya naye lakini naendelea kumsubiri yule Konkoni aliyebamba kwenye Media zetu, yule ambaye ALLY KAMWE alituaminisha , yule ambaye...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Abdul Kareem Popat amekuwa CEO wa Azam FC kwa zaidi ya Miaka 7. Huyu ndio CEO ambae hana presha kabisa ya kupoteza kazi yake kutokana kutopewa presha ya mafanikio pale Chamzi Complex. Kipindi...
6 Reactions
32 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…