Ushauri kwa TFF kuhusu Yanga

mwengeso

JF-Expert Member
Nov 27, 2014
9,219
6,650
Kwa mwendo wa kipigo cha 5G kwa timu pinzani, ligi ya NBC, ambacho Yanga inakitoa, na ndio mwanzo wa kikosi kinajengwa na Timu mpya ya ufundi, chini ya kocha Gamondi.

Nashauri:

Yanga ipangiwe kucheza michezo miwili miwili, kwa siku hiyo hiyo (kwa maana icheze na timu 2 za ligi, moja baada ya nyingine), ya viporo, kwa sababu ya Mashindano ya Klabu Bingwa CAF. Yanga imethibitisha kuwa ina vikosi viwili vilivyokamilika, ili wachezaji wote wapate nafasi ya kucheza.

Yawezekana kukawa na upungufu wa mapato lakini kiingilio kinaweza kuongezwa.
 
Uzi Tayari .

BADALA ya kupambana na Maisha sisis akina kajambanani KUTWA KUBISHANA Simba na Yanga.
Sijui zinatusaisia nini.

WATOTO WA Matajiri wanasoma Ulaya wanaajiliwa kwenye System sisi tumekaa sima yanga sim yanga tu.

Pole sana
 
Uanachama, ushabiki au unazi, katika michezo, ni sehemu ya maisha ya binadamu (burudani), bila kujali hali yake kijamii, kisiasa au kiuchumi
 
Kwa mwendo wa kipigo cha 5G kwa timu pinzani, ligi ya NBC, ambacho Yanga inakitoa, na ndio mwanzo wa kikosi kinajengwa na Timu mpya ya ufundi, chini ya kocha Gamondi.

Nashauri:

Yanga ipangiwe kucheza michezo miwili miwili, kwa siku hiyo hiyo (kwa maana icheze na timu 2 za ligi, moja baada ya nyingine), ya viporo, kwa sababu ya Mashindano ya Klabu Bingwa CAF. Yanga imethibitisha kuwa ina vikosi viwili vilivyokamilika, ili wachezaji wote wapate nafasi ya kucheza.

Yawezekana kukawa na upungufu wa mapato lakini kiingilio kinaweza kuongezwa.
Huna tofauti na MCHEZA MDUMANGE. You know nothing kuhusu football
 
simba-ngao.jpg
 
Kwa mwendo wa kipigo cha 5G kwa timu pinzani, ligi ya NBC, ambacho Yanga inakitoa, na ndio mwanzo wa kikosi kinajengwa na Timu mpya ya ufundi, chini ya kocha Gamondi.

Nashauri:

Yanga ipangiwe kucheza michezo miwili miwili, kwa siku hiyo hiyo (kwa maana icheze na timu 2 za ligi, moja baada ya nyingine), ya viporo, kwa sababu ya Mashindano ya Klabu Bingwa CAF. Yanga imethibitisha kuwa ina vikosi viwili vilivyokamilika, ili wachezaji wote wapate nafasi ya kucheza.

Yawezekana kukawa na upungufu wa mapato lakini kiingilio kinaweza kuongezwa.
Naunga mkono hoja
 
Aaaahaaa,eti Simba mbovu
Simba itaonekana mbovu kama itafungwa na Yanga goli 5 kama ASAS Djibouti, KMC na JKT zinavyodaiwa kuwa mbovu baada ya kubamizwa idadi hiyo ya magoli.

Je, timu itakayobamizwa zaidi ya goli 5 na Yanga itaitwaje?
 
Wapenzi wa soka (mpira wa miguu), kama wafuasi wa wanasiasa, huwa hawakubali ukweli kwa sababu kubwa moja: UNAZI sawa na IMANI katika dini.

Ukweli ni kwamba Yanga ya Gamondi, siyo tu imesheheni wachezaji wenye vipaji vikubwa, wanaandaliwa vizuri sana kimchezo (akili, stamina, mbinu, mfumo, nk). Hivyo wapenzi wa soka wategemee maajabu ya timu ya Yanga, msimu huu, kitaifa na CAF, bila kusisahau kuwa mpira wa miguu unadunda dakika 90 na hutegemea mchango wa kila mchezaji uwanjani.
 
Back
Top Bottom