Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Kauli ya Rais Samia leo ni kama ameinyooshea kidole Dar Young African (Yanga), Yanga mnaugomvi na Feisal! Unaweza kumsikiliza tena Mh Rais alafu ukapata jibu kuwa ni nani alienda kumuelezea Mh...
3 Reactions
90 Replies
8K Views
Mpaka hapa, naona uwezekana wa timu hizi mbili kuingia katika hatua ya makundi huku Yanga akiwa na chance ya asilimia 90 na Simba asilimia 80. Kwa msingi huo, katika droo ya kupanga makundi, upo...
5 Reactions
98 Replies
9K Views
Kuumia kwa Manula na ghafla kuibuka kwa Ally Salim kama Kipa wa kuaminika kumekuwa na majungo ya chini kwa chini kuwa ni ndumba zinafanya kazi. Sasa hiki kinachomkuta tena huyu kipa mgeni wa Simba...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Na kinachonikera zaidi hilo Goma lenyewe anashea na Wachezaji Wenzake Mkude na Nyoni hivyo kwa Kiwango chake Kushuka na Mpira mbovu alioucheza jana kuanzia sasa ( leo ) nawaahidi wana Simba SC...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
"Alex Luambano kiukweli nchi ni nzuri na tumefika Salama hapa Kigali Rwanda, ila tatizo Kubwa tunalolipata ni wengi wetu kurokujua Lugha ya Kiingereza kiasi kwamba tunalanguliwa mno Bei ya Taxi"...
8 Reactions
125 Replies
8K Views
Za weekend Wakuu, Kuna hii kampuni mpya ya kubet inaitwa Bonus bet. Nliona wamekuja vizur na offer zao za ku deposit plus odds unaweza kujiongezea kidogo. Ila Sasa tabu yao Ukitaka ku deposit...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Sababu ni moja tu hawajawahi kamwe kuwa na bahati na Timu za Sudan na Mpira wa Wasudani Siku zote umekuwa ni wa Kimkakati zaidi na huwa Hawarogeki kirahisi tena na Uchawi wa Timu za kutoka Afrika...
10 Reactions
25 Replies
3K Views
π™”π˜Όπ™‰π™‚π˜Ό π™”π˜Όπ™’π˜Όπ™π™π™π˜Ό π™ˆπ˜Όπ˜Ύπ™ƒπ™Šπ™•π™„ π™’π˜Όπ˜Όπ™π™ƒπ™„π™π™„π™†π˜Ό π™ˆπ˜Όπ™π™π™π™„π™†π™Š π™π™’π˜Όπ™‰π˜Ώπ˜Ό Klabu ya Yanga imekabidhi mifuko 200 ya saruji na bati 70 kwa Shirika la Chakula la Umoja wa Mataifa (WFP) hapa Kigali kwa ajili ya waathirika wa...
6 Reactions
18 Replies
2K Views
Ni muendelezo wa kuwafunga midomo wale wote waliokuwa wanabwata ya kwamba kombe la shirikisho lilikuwa na timu dhaifu, kwa walioangalia mpira wa Al ahly na USM alger atakubaliana na mimi ya kwamba...
16 Reactions
31 Replies
3K Views
Al Merrikh ya Sudan wakitumia Uwanja wa Pele Kigali watawaalika Young Africans ya Tanzania katika mchezo wa mkondo wa kwanza kufuzu hatua ya makundi ya Klabu Bingwa Africa. Ni mchezo wa aina yake...
17 Reactions
473 Replies
42K Views
Ewe Mola kama tayari tumeshawapa Waarabu Bandari yetu basi kwa Upendo wako huo huo GENTAMYCINE nakuomba Uwabariki pia na Waarabu wengine ili leo nao Waweze Kumiliki Jangwa la Mtoni kupitia...
6 Reactions
45 Replies
4K Views
Wiki hii nimejaribu kufanya uchambuzi wa kina Kwa mechi hii ya mnyama na timu ya power Dynamo Matokeo yatakuwa kama ifuatavyo Simba kutokana na kuwa na ulinzi dhaifu wataruhusu goli 3 pia...
6 Reactions
76 Replies
6K Views
Taarifa hii ni kwa mujibu wa Msemaji wa Yanga, Ally Kamwe ambae anasema Raisi huyo wa Yanga aliamua kufanya hivyo kuondoa usumbufu na pi imesaidia kukabiliana na zile njama/mbinu za kupandisha...
3 Reactions
2 Replies
944 Views
YANGA Singida SIMBA Coastal Mtibwa Namungo Ihefu Tuendelee
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimefika mahali nikakuta mashabiki wa Simba wanafurahi kwa ushindi wa leo wa yanga nikastaajabu! Nilipouliza huu urafiki umeanza link,wakasema kila yanga ikishinda wanapewa tunda bure bila malipo...
7 Reactions
23 Replies
2K Views
Moja ya wachezaji wanaofahamika kuwa na mitindo mingi na tofauti ya nywele ni David Joseph Beckham. Moja ya unyoaji uliowahi kumletea shida akiwa chini ya Sir.Alex Ferguson ni kijogoo. Alijua...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Mwamba hatunaye tena. Alikuwa na miaka 60. Masikitiko makubwa. Rais wa Argentina katangaza siku 3 za maombolezo. ----- Wasifu Wa Hayati Maradona ----- Mmoja wa wachezaji waliobarikiwa...
12 Reactions
155 Replies
20K Views
Hamjambo ndugu zangu wa Tanganyika? Tangu nifike kwenye nchi yenu kuna jambo silielewi, kila wanachokifanya Yanga upande wa pili wanadai walishapita huko zamani. Wenye kumbukumbu naomba...
6 Reactions
6 Replies
1K Views
Mpira unachezwa hauongelewi..hicho ndio unachoweza sema. Ila kingine ni kua nyie Simba endeleeni kuishi kwa Matumaini tu. Si maswala ya kuombea eti watakuja Nyumbani tushatoka huko. Popote kambi.
2 Reactions
6 Replies
750 Views
Haya Watanzania Wote hasa hasa wale Mashabiki wa Makafara FC mlioko Jijini Kigali nchini Rwanda mmeombwa Kujitokeza ili Kuchangia Damu Jini letu lifurahi na baadae tutaenda kutoa Misaada kwa...
0 Reactions
39 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…