FT | Al Merrikh 0-2 Young Africans | CAFCL Group Stage Qualifier | Pele Stadium, Kigali | 16.09.2023

ESCORT 1

JF-Expert Member
Dec 7, 2015
1,267
2,519
Al Merrikh ya Sudan wakitumia Uwanja wa Pele Kigali watawaalika Young Africans ya Tanzania katika mchezo wa mkondo wa kwanza kufuzu hatua ya makundi ya Klabu Bingwa Africa.

Ni mchezo wa aina yake kwani Young Africans imefanikiwa kusafiri kwa kishindo cha mashabiki wengi mpaka jijini Kigali hivyo kuleta chache ya kuondoka na ushindi.

Tuwatakie heri na fanaka nyingi kwa Young Africans ambao ni wawakilishi wa Tanzania katika michuano hiyo.

Mechi itakuwa live saa 10:00 jioni na itakujia kupitia Azam Sports 1HD
 
wasudani leo watapigwa kama ngoma. kikosi cha yanga sio cha mchezo mchezo.
 
Kila la kheri Yanga, kila la kheri Tanzania...

Nikirudi miaka ya nyuma, El Merrikh wamekuwa wakiisumbua sana Yanga...

Sasa ni kizazi kipya, muda wa kulipa kisasi...
yanga leo wanaenda wakijua kabisa wanaenda kushindana na timu mbovu kwao, na wanajua wanaenda kushinda. sema wawe makini tu wasije wakashtukizwa. ila hata el merrikh wanajua yanga ipo vizuri na leo si rahisi kwao kutoka bila kuchapwa. na kama walishawahi kutusumbua yanga before, basi yanga piga kabisa ua kabisa hao ndezi.
 
Back
Top Bottom