Kuna timu nyingine ya Tanzania siku si nyingi nayo inaenda Kuungana na Azam FC kwa Kutolewa mapema CAFCL

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,736
109,323
Sababu ni moja tu hawajawahi kamwe kuwa na bahati na Timu za Sudan na Mpira wa Wasudani Siku zote umekuwa ni wa Kimkakati zaidi na huwa Hawarogeki kirahisi tena na Uchawi wa Timu za kutoka Afrika Mashariki ( hasa Tanzania ) yetu hii.

Naishauri hiyo Timu kuwa ihakikishe tu inashangilia Ushindi wake wa Karamu ya Magoli ( Magoli mengi ) kwa mara ya mwisho Weekend hii huku Wakichomekea Nguo zao kwani baada ya Weekend hii nao wataenda Kutolewa na kurudi Kuungana na Wanafiki Wenzao Azam FC katika Kucheza kwa bidii zote NBC Premier League na ASFC.

Tanzania kuna Timu moja tu na ambayo inajulikana na Kusifika hadi na CAF na FIFA nayo ni Simba Sports Club tu pekee iliyoko nafasi ya Saba ( 7 ) kwa Ubora wa Viwango Afrika huku Wengine kwa bahati bahati ( Fluku ) wakiwa ni wa Kumi na Saba ( 17 ) au wa Kumi na Tisa ( 19 ) na wanakoelekea watafika hadi nafasi ya 50 Afrika na ya 19,650 Kidunia.

Kazi ipo.....!!
 
We sema tu unakhofia Yanga anaenda kukupoka ubig brother hapa bongo,aahaaa
 
Sioni sababu utakayo fanya yanga asisonge mbele. Muda utaongea
Screenshot_20230826-060158.png
 
Sababu ni moja tu hawajawahi kamwe kuwa na bahati na Timu za Sudan na Mpira wa Wasudani Siku zote umekuwa ni wa Kimkakati zaidi na huwa Hawarogeki kirahisi tena na Uchawi wa Timu za kutoka Afrika Mashariki ( hasa Tanzania ) yetu hii.

Naishauri hiyo Timu kuwa ihakikishe tu inashangilia Ushindi wake wa Karamu ya Magoli ( Magoli mengi ) kwa mara ya mwisho Weekend hii huku Wakichomekea Nguo zao kwani baada ya Weekend hii nao wataenda Kutolewa na kurudi Kuungana na Wanafiki Wenzao Azam FC katika Kucheza kwa bidii zote NBC Premier League na ASFC.

Tanzania kuna Timu moja tu na ambayo inajulikana na Kusifika hadi na CAF na FIFA nayo ni Simba Sports Club tu pekee iliyoko nafasi ya Saba ( 7 ) kwa Ubora wa Viwango Afrika huku Wengine kwa bahati bahati ( Fluku ) wakiwa ni wa Kumi na Saba ( 17 ) au wa Kumi na Tisa ( 19 ) na wanakoelekea watafika hadi nafasi ya 50 Af

Kazi ipo.....!!
Hivi mechi zinazofuata za mtoano zinapigwa lini mkuu?
 
Acha kuichulia Simba
Sababu ni moja tu hawajawahi kamwe kuwa na bahati na Timu za Sudan na Mpira wa Wasudani Siku zote umekuwa ni wa Kimkakati zaidi na huwa Hawarogeki kirahisi tena na Uchawi wa Timu za kutoka Afrika Mashariki ( hasa Tanzania ) yetu hii.

Naishauri hiyo Timu kuwa ihakikishe tu inashangilia Ushindi wake wa Karamu ya Magoli ( Magoli mengi ) kwa mara ya mwisho Weekend hii huku Wakichomekea Nguo zao kwani baada ya Weekend hii nao wataenda Kutolewa na kurudi Kuungana na Wanafiki Wenzao Azam FC katika Kucheza kwa bidii zote NBC Premier League na ASFC.

Tanzania kuna Timu moja tu na ambayo inajulikana na Kusifika hadi na CAF na FIFA nayo ni Simba Sports Club tu pekee iliyoko nafasi ya Saba ( 7 ) kwa Ubora wa Viwango Afrika huku Wengine kwa bahati bahati ( Fluku ) wakiwa ni wa Kumi na Saba ( 17 ) au wa Kumi na Tisa ( 19 ) na wanakoelekea watafika hadi nafasi ya 50 Afrika na ya 19,650 Kidunia.

Kazi ipo.....!!
 
Sababu ni moja tu hawajawahi kamwe kuwa na bahati na Timu za Sudan na Mpira wa Wasudani Siku zote umekuwa ni wa Kimkakati zaidi na huwa Hawarogeki kirahisi tena na Uchawi wa Timu za kutoka Afrika Mashariki ( hasa Tanzania ) yetu hii.

Naishauri hiyo Timu kuwa ihakikishe tu inashangilia Ushindi wake wa Karamu ya Magoli ( Magoli mengi ) kwa mara ya mwisho Weekend hii huku Wakichomekea Nguo zao kwani baada ya Weekend hii nao wataenda Kutolewa na kurudi Kuungana na Wanafiki Wenzao Azam FC katika Kucheza kwa bidii zote NBC Premier League na ASFC.

Tanzania kuna Timu moja tu na ambayo inajulikana na Kusifika hadi na CAF na FIFA nayo ni Simba Sports Club tu pekee iliyoko nafasi ya Saba ( 7 ) kwa Ubora wa Viwango Afrika huku Wengine kwa bahati bahati ( Fluku ) wakiwa ni wa Kumi na Saba ( 17 ) au wa Kumi na Tisa ( 19 ) na wanakoelekea watafika hadi nafasi ya 50 Afrika na ya 19,650 Kidunia.

Kazi ipo.....!!
Yanga ikifanikiwa kuitoa hiyo Al Merreikh na kutinga hatua ya makundi, ukubali sasa kuitwa Popoma mbobevu wa jamii forums.
Na siyo kuja kutukana tena watu hovyo humu jukwaani.
 
Back
Top Bottom