Fursa ya Tanzania kuwa mwenyeji wa mataifa Afrika Mwaka 2027 kushirikiana na Kenya na Uganda ni major economy breakthrough! Rais Samia ametoa wito tutatumia kila aina ya rasilimali kila Sekta...
Huu mpango kuna siku utashtukiwa tu, nyie kila mnapokuwa na mechi ngumu mnakimbilia kusaidia yatima au kutoa misaada kwenye madrasa, lengo ni kutafuta ushindi tarehe 30.
Dah kazi ipo!
Jezi kwenda kuzinduliwa bila Kiongozi wa Simba, Inakuwaje?
---
Baada ya kufika kituo cha Kisambionyi uongozi wa Simba umekabidhi kibegi 🎒 kwa timu maalum ya wapanda milima ambao ni mashabiki wa...
Yanga ni timu kongwe kuliko timu zote zinazocheza ligi kuu.Ni timu iliyotakiwa kuwa mfano kwa mafanikio ya kimataifa kwa timu za ndani.
Hata hivyo jambo hilo limekuwa gumu sana kwao hasa...
Mimi sio shabiki hoya hoya, nilikuwa nikienda uwanjani bila kujalj kama mm ni Simba lia lia, kiukweli katika maisha yangu moja ya mawinga hatari niliowahi kuwaona kwa macho yangu ni huyu marehemu...
Mchezaji wa simba che malone alisababisha ajali na kumua dereva wa bodaboda katika ajali iliyotokea mikocheni juzi.
Havari zilizopatikana kutoka eneo la tukio zinasema mchezaji huyo alikuwa...
Akihutubia kama mgeni Rasmi siku ya Simba Day, Rais Dk. Samia amesema Serikali yake Itajenga Viwanja vya Mpira wa Miguu vipya 2 kwenye Miji ya Arusha na Dodoma Ili kujiandaa na kuwa mwennyeji wa...
Atakayenibishia hili GENTAMYCINE nitamdharau hadi Dunia itakapopinduka na kumuona hazijamtimia Kichwani kwakuwa ni Jambo ambalo liko wazi hata tu Kiuhalisia.
Asanteni sana Simba SC kwa kwenda...
Kwa miaka mitano hii ya ushiriki wa Simba kwenye michuano ya kimataifa timu yetu ya ni kama haipigi hatua. Tunaishia pale ple tu ambapo tunaishia miaka ya nyuma.
Kwa mtazamo wangu...
Kwahiyo Mkude aliamini kabisa kuwa akienda Yanga SC atamtoa Khalid Aucho, Mudathir Yahaya na atashindana Kiuwezo na Salum Abubakary 'Sure Boy' na atapambana na Mgeni anayekichafua katikati huku...
GENTAMYCINE nimehakikishiwa kuwa huwa Unanisoma mno tu hapa JamiiForums huku muda mwingi ukiwa Unacheka kwa Ukomedi wangu wa Kiuandishi na Kiuwasilishaji wa Masuala Mtambuka hivyo basi naamini...
1.Eliud kipchoge (38) bingwa wa MAJOR marathons mara 11
2.Novak Djokovic (36) bingwa wa tennis Grand slam 24
3.Christian Ronaldo ( 38) mshindi wa balloon d'Or award mara 5
Note:hizo nimeweka...
Kuwa na Afya njema ni zaidi ya kukosa maumivu mwilini, jeraha au kuvunjika mifupa. Mpira unachezwa na mwili pamoja na akili. Mchezaji che Malone amepata ajali ya gari usiku pale maeneo ya...
Mtendaji mkuu wa bodi ya ligi ;
"Ligi yetu imesimama kwasababu ya ratiba ya awali iliyotolewa na CAF ,kwani kati ya tarehe 22 -25 kulikuwa na ratiba ya michuano ya CAN ,Bahati mbaya CAF wamekosa...
Mosses Mkandawile alikuwa golikipa wa Simba, kipa huyu alikuwa akiwaudhi sana mashabiki wa Simba kwa namna alivyokuwa akifungwa magoli ya hovyo.
Lile goli alilofungwa Ayoub Lakred kule Ndola...
Rafu aliyofanyiwa Inonga na Haji Ugando ilikuwa kinga ya Haji Ugando dhidi ya Inonga. Kama Haji asingezuia mguu wa Inonga angeumia sana.
Inonga Hana tabia ya kujali afya za wachezaji wenzake...
Wakuu mfano mechi inaendelea kocha akaamua kufanya sub halafu mchezaji akagoma kutoka, kama ni kipindi cha kwanza tunaweza kusema labda baada ya mapunziko atazuiwa kurudi.
Je kama ni kipindi cha...
Kwa mtazamo wangu ile game ya Yanga na Namungo ilikuwa iishe bila kufungana, ninaamini hivyo kwasababu ukiangalia ile game utaona jinsi Namungo walivyokuwa tayari wamefanikiwa kuwazuia Yanga hadi...
Ukweli usemwe Fiston Kalala Mayele aliona mbali uwepo wa Huyu Mwamba ndio maana alikimbia. Kumbuka Jean Baleke alimshinda Mayele ufungaji Bora huko ligi kuu ya DRC misimu mitatu iliyopita!