Viongozi wa Yanga wanaongea kama viongozi wa Ihefu

Cashman

JF-Expert Member
Jun 8, 2018
2,299
3,976
Yanga ni timu kongwe kuliko timu zote zinazocheza ligi kuu.Ni timu iliyotakiwa kuwa mfano kwa mafanikio ya kimataifa kwa timu za ndani.
Hata hivyo jambo hilo limekuwa gumu sana kwao hasa yanapokuja mashindano ya club bingwa.

Utaona ni wao wamekuwa mabingwa wa kihistoria kama wasemavyo,lakini kitendo cha kucheza makundi tu,kwao ni hatua ambayo kwa miaka mingi imekuwa ni ndoto.
Mara ya mwisho walipocheza hatua hii walikuwa wa mwisho kwenye kundi lao.

Kwa sasa viongozi hao wamefuta kumbu kumbu zote,wakiiona timu yao kama Ihefu ambayo imeibuka tu hivi karibuni,wakija na kauli za eti kuifundisha Simba jinsi ya kuvuka hatua ya robo fainali!Kauli hii ni kichekesho kidogo kwa watu wanaofikiria
Kauli hii ingesemwa na viongozi wa Ihefu ingekuwa kuntu lakini sio kwa hawa vijeba.

Hata hivyo ni aibu kwa timu tuliyotarajia ingekuwa na historia nzuri klabu bingwa kwa kuwa yenyewe ndio imecheza Mara nyingi zaidi kama muwakilishi wa taifa, leo wanajizima akili wakijiona watoto wadogo wanaokwenda kumuonesha mkubwa wao ( Simba) jinsi ya kucheza hatua zaidi ya robo ambayo wao wana miaka zaidi ya 20 hawajaifikia.
Kweli ninyi role model wenu ni Simba,na msipovunja rekodi ya Simba hampati furaha
 
Gombea uongozi wa Yanga wewe Fukunyo.
 
Umewaamkia yanga mkuu.??????????????????

Unawapiga Asubuhi yote hii???!!!!!

Yanga walicheza makundi Mwaka 1998 mala ya mwisho.

ENZI HIZO.

1. Baba WA TAIFA MWALIMU Julius Nyerere alikuwa hai.

2. Ufaransa ukichukua kombe la Dunia na makinda wao Thiery Henry, zinedine zidane, Laurent Blank Fabio Bartez.

3.Rais Alikuwa ni WA Awamu ya Tatu Benjamin Mkapa.

4. Mdogo wangu HAKUWA amezaliwa
Amezaliwa 2000 sasa Amemaliza chuo KIKUKU ameona na Amna Mtoto.

Ni miaka 25 ILIYOPITA.
Mengine mtaongezea
 
Bado haujasema mpaka useme.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umewaamkia yanga mkuu.??????????????????

Unawapiga Asubuhi yote hii???!!!!!

Yanga walicheza makundi Mwaka 1998 mala ya mwisho.

ENZI HIZO.

1. Baba WA TAIFA MWALIMU Julius Nyerere alikuwa hai.

2. Ufaransa ukichukua kombe la Dunia na makinda wao Thiery Henry, zinedine zidane, Laurent Blank Fabio Bartez.

3.Rais Alikuwa ni WA Awamu ya Tatu Benjamin Mkapa.

4. Mdogo wangu HAKUWA amezaliwa
Amezaliwa 2000 sasa Amemaliza chuo KIKUKU ameona na Amna Mtoto.

Ni miaka 25 ILIYOPITA.
Mengine mtaongezea
Kipindi Yanga anaingia makundi 1998 nyie mlikua wapi?
 
Simba walikua na miaka 29 hawajavuka round ya kwanza ya ligi ya mabingwa Afrika.
Na baada ya 2003 kuingia group stage ikawachukua miaka 16 kufika tena hatua iyo.
Mpaka sasa mwekezaji wao anasema ametumia bilioni 55 kwa Simba kucheza hatua ya robo fainal iyo ukiondoa bilion 20 ya uwekezaji ambayo haja ijumuisha.

Wenzao Yanga mpaka sasa kwenye klabu bingwa haijafika ata bilion 1 wanakwenda kucheza Makundi.

Unaweza ukapima aina za vingozi waliopo kwenye vilabu hivi na ukapata jibu ni timu ipi ina viongozi wa mpira na ipi ina wasaka tonge kweny mpira.
 
Ahaaaaaa,dah
 
Yanga vs simba
Basi yanga ni top ya timu zote Tanzania.
Njoo na hoja nikujibu kwa hoja, njooni na takwimu niwajibu kwa takwimu, njooni na ushahidi niwajibu kwa ushahidi
Miaka yote na ukubwa wake ilikuwa wapi kufika fainali?
Leo mnaomgea kama timu imepanda ligi mwaka juzi?
 
Umewaamkia yanga mkuu.??????????????????

Unawapiga Asubuhi yote hii???!!!!!

Yanga walicheza makundi Mwaka 1998 mala ya mwisho.

ENZI HIZO.

1. Baba WA TAIFA MWALIMU Julius Nyerere alikuwa hai.

2. Ufaransa ukichukua kombe la Dunia na makinda wao Thiery Henry, zinedine zidane, Laurent Blank Fabio Bartez.

3.Rais Alikuwa ni WA Awamu ya Tatu Benjamin Mkapa.

4. Mdogo wangu HAKUWA amezaliwa
Amezaliwa 2000 sasa Amemaliza chuo KIKUKU ameona na Amna Mtoto.

Ni miaka 25 ILIYOPITA.
Mengine mtaongezea
Mkuu, nikirejea kauli zako za mara kwa mara hapa Jukwaani hasa ikipewa mipasho timu yako pendwa ya Simba huwa unasema hupendi tabia za mipasho. Leo imekuwaje tena umeenda kinyume chake.
 
Simba walikua na miaka 29 hawajavuka round ya kwanza ya ligi ya mabingwa Afrika.
Na baada ya 2003 kuingia group stage ikawachukua miaka 16 kufika tena hatua iyo.
Mpaka sasa mwekezaji wao anasema ametumia bilioni 55 kwa Simba kucheza hatua ya robo fainal iyo ukiondoa bilion 20 ya uwekezaji ambayo haja ijumuisha.

Wenzao Yanga mpaka sasa kwenye klabu bingwa haijafika ata bilion 1 wanakwenda kucheza Makundi.

Unaweza ukapima aina za vingozi waliopo kwenye vilabu hivi na ukapata jibu ni timu ipi ina viongozi wa mpira na ipi ina wasaka tonge kweny mpira.
Mwaka 93 Simba waliahiriki fainali ya Caf ambayo timu yenu toka ianzishwe umefika.mwaka huu.
 
Simba iliyokua na ufadhili mzito wa akina Azim Dewji iliwahi kunusurika kushuka daraja hadi ikaokolewa na Yanga iliyokubali kuupoteza ubingwa kwa kufungwa na Simba na Ubingwa kwa Coastal Union huku nafasi ya pili ikikamatwa na African Sport.
Lakini Yanga iliyopigika kiasi cha kugharamiwa na Mwinyi Zahera haikuwahi kunusurika kushuka daraja zaudi iliendelea kubaki Top Fuve
 
Simba walikua na miaka 29 hawajavuka round ya kwanza ya ligi ya mabingwa Afrika.
Na baada ya 2003 kuingia group stage ikawachukua miaka 16 kufika tena hatua iyo.
Mpaka sasa mwekezaji wao anasema ametumia bilioni 55 kwa Simba kucheza hatua ya robo fainal iyo ukiondoa bilion 20 ya uwekezaji ambayo haja ijumuisha.

Wenzao Yanga mpaka sasa kwenye klabu bingwa haijafika ata bilion 1 wanakwenda kucheza Makundi.

Unaweza ukapima aina za vingozi waliopo kwenye vilabu hivi na ukapata jibu ni timu ipi ina viongozi wa mpira na ipi ina wasaka tonge kweny mpira.
Unawapa majibu mazito sana mbumbumbu sina hakika kama wataelewa

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Mwaka 93 Simba waliahiriki fainali ya Caf ambayo timu yenu toka ianzishwe umefika.mwaka huu.
1993 kulikuwa na mshindano matatu ya CAF
1) African cup of winners' cup
2) African cup of champions club
3) CAF cup

Michuano aliyocheza Yanga fainali, inamruhusu bingwa wa hiyo michuano kukipiga kwenye Super cup dhidi ya bingwa wa klabu bingwa, sasa unafananisha vipi na michuano ya CAF cup ambayo bingwa wake achezi super cup?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom