Christian Ronaldo, Novak Djokovic, Eliud kipchoge mifano bora kwa vijana waonataka kufanikiwa in sports.

sportstore

JF-Expert Member
Apr 5, 2023
453
1,612
1.Eliud kipchoge (38) bingwa wa MAJOR marathons mara 11
2.Novak Djokovic (36) bingwa wa tennis Grand slam 24
3.Christian Ronaldo ( 38) mshindi wa balloon d'Or award mara 5

Note:hizo nimeweka major awards bado wameshinda tournament nyingine nyingi sana.

Ukiwaangalia wote hawa kwanza hawatumii POMBE, life style yao ya chakula ni more health.zipo sababu zingine kama nidhamu etc

Kijana ukitaka upate mafanikio ya kuvunja RECORD ZA DUNIA kwenye michezo na pia uwe kwenye GAME MUDA MEREFU jiepushe na pombe na kula healthier. ..Ukiwaangalia hawa wote hakuna aliyeko mbio kustaafu. Bado damu iko moto
View attachment 2763610View attachment 2763609View attachment 2763611
 

Attachments

  • 1684443026_novak.gif
    1684443026_novak.gif
    149.9 KB · Views: 2
  • kenyas-eliud-kipchoge-smiles-asfter-crossing-the-finish-news-photo-1695549574.jpg
    kenyas-eliud-kipchoge-smiles-asfter-crossing-the-finish-news-photo-1695549574.jpg
    39.4 KB · Views: 1
Ao jamaa wame sacrifice kila kitu katika maisha na kujikita katika mchezo husika.
Ni ngumu sana kwa umri walionao na utajiri unao wazunguka na kuwa bora kwa kiwango walichonacho.
 
Yaani kwa hiyana tu umeacha kumtaja Messi mwenye Balon d or 7 na bado anakiwasha kwenye michezo.
Nadhani role models wa mleta uzi ni athletes wasio na vipaji ila wanaforce mambo kwa kutimia minguvu tu (eg Ronaldo), na hata anaowashauri ni vijana wa aina hiyo. Vijana wenye vipaji vyao, wanaofanya mambo yaende na kuweka records bila kuumia 'minguvu nguvu' na 'nginja ngija' huku wakimuiga Lionel Messi haiwafai wasome uzi huu.
 
mafanikio yanahitaji bidii, nidhamu, kutokata tamaa na kujifunza kila siku... starehe ni adui wa mafanikio. hao jamaa ni role models sio tu kwenye michezo bali kwenye mapambano yoteya kutafuta maisha bora kwa vijana.
 
Back
Top Bottom