Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Wanayanga inabidi tufanye maandamano makubwa ya kitaifa kusherehekea hatua kubwa ya timu yetu kufuzu hatua ya makundi kwenye mashindano makubwa zaidi kwa vilabu barani Afrika, CAF Champions League...
4 Reactions
9 Replies
808 Views
Nilitazama mpira future walikua wakawaida sana na walikua wanafungika magoli mengi tu kwenye uwanja wa kwao. Lakini nilishangaa kuona Singida fountain Gate kupigwa goli nne Kwa moja Tena Future...
1 Reactions
5 Replies
669 Views
Uchunguzi uliofanywa na Kituo cha BBC wakizungumza na zaidi ya Waathirika 30, umebaini kuwa kuna mtandao mkubwa unaohusika na matukio ya unyanyasaji kwa wachezaji wa mpira wa miguu wenye umri...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Naskia jamaa yenu huko mambo magumu. Juzi timu yake imeua goli 6 lakini mwamba hata la offside kashindwa kufunga. Vipi kwenye ligi yao kafanikiwa kufunga kweli? Tumuombee jamaa anapitia kipindi...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Uchambuzi wangu Mpira wa Leo utakuwa ni mgumu sana Katika baadhi ya mechi walizowahi kukutana nazo coz pressure itakuwa juu zaidi Kwa kolo since ndiyo timu itakayoangaliwa zaidi Facts Power...
11 Reactions
65 Replies
4K Views
Kitendo Ulichofanya Popat CEO wa Azam sio cha Kizalendo kabisa unawezaje kulazimisha Timu yako ya Azam ifanye Mazoezi Asubuhi Chamazi Stadium siku ya leo ya mechi ya CAF mbona siku nyingine...
14 Reactions
48 Replies
4K Views
Huwezi kuiacha Yanga ukaenda kutafuta maisha kwingine ukafanikiwa, ukiacha Simon Msuva ambaye akiwastukia hiyo kitu nakwenda kutakaswa Tanga maeneo ya Maweni, wengine wote huko wanakokwenda huwa...
8 Reactions
32 Replies
3K Views
Wiki iliyopita GENTAMYCINE nilikuomba Wewe Mrogaji wake ambaye ni Kiboko ya Kipa Diara kuwa mrudishie haraka Soksi yake uliyoiiba Bunju na kuipeleka kwa Mtaalam Mbeya na Kigoma hukutaka kunisikia...
7 Reactions
53 Replies
5K Views
Uchambuzi wangu Baada ya kuona Mechi Kali ya singida na future fc ya misri na Baada ya kushuhudia pira papatu la makolo .....nimewaza sana kuwa pengine Ile future fc kama ingekuwa club bingwa na...
1 Reactions
0 Replies
394 Views
KALABA: KAMA JWANENG GALAXY [emoji1052] WALIWEZA, KWANINI ISIWE POWER DYNAMOS? . "Kwenye mechi ya Simba dhidi ya Power Dynamos [emoji1268] yeyote ana nafasi ya kufuzu kwenye mpira wa Miguu lolote...
6 Reactions
63 Replies
7K Views
Nazipongeza timu zetu 2 za yanga na simba kufuzu makundi, kwani imetuongezea heshima, ika hawa Singida big stars wanastahili lawama kabisa kwa jinsi walivyoitayarisha timu, wamepeleka timu bila...
1 Reactions
0 Replies
282 Views
. ukichukua kikosi chote cha power dynamoo kiwe chini ya robetino basi hiyo timu itakuwa Gian in africa kupita mamelod Sun down au esparence.Ni tabia ya kittoto sana wanayoonesha wapenzi wa simba...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Kocha wa klabu ya Al Merreikh, Osama Nabih amesema Yanga SC inacheza kama vilabu vikubwa vya Ulaya na kubainisha kuwa hatashangaa ikiwa Yanga itatwaa ubingwa wa Afrika. “Tumekutana na vilabu...
18 Reactions
22 Replies
4K Views
Wakuu huyu Ayoub Lakred hamna kitu. Tujiandae kufungwa goli za kutosha msimu huu. Lile ni zaidi ya pazia
24 Reactions
56 Replies
7K Views
Sad news for the regions and participants... Organizers cancel the Dakar Rally Story Highlights -The Dakar Rally, due to start on Saturday, is called off -The French Government had...
0 Reactions
136 Replies
18K Views
Leo nimeamini mpira sio kelele kama wanazopiga mashabiki wa Simba humu nimeamini mpira ni Sayansi na sio propaganda za kina Gentamycine na wenzake mashabiki wa Simba wasiofahamu sayansi ya mpira...
6 Reactions
17 Replies
1K Views
Asante kwa Jini letu Kumchanganya Beki ili aone kuwa anaokoa kumbe anajifunga Mwenyewe vinginevyo leo ilikuwa ni 'Kuchapana Bakora na Kutimuana Day' tu na hakika tungeumizana Mbagala.
2 Reactions
2 Replies
685 Views
Simba kwanini wanashindwa kumwamini Salum kama manula hayupo,huyu mwarabu ni mbovu,magoli tuliyofungwa Zambia yote mawili asilimia 70 ni kushindwa kudaka mashuti na asilimia nyingine 30 ni mabeki...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Kwakweli saa nyingine huna nashindwa kujua iwapo mashabiki wa mpila wa Tz Wana uwelewa gani wa mpila zaidi ya kufuata mikumbo na ushabiki. Sasa hivi naona kwenye mitandao ya kijamii mashabiki wa...
7 Reactions
29 Replies
3K Views
Rejea mada tajwa hapo juu. Mashabiki wa simba sc, wanalunyasi wamechoshwa na unbeaten 26 za robertinho. Kwanini hawataki ushindi huu? 1. Jina la utani la Lunyasi tafsiri yake asilia ni timu...
0 Reactions
6 Replies
574 Views
Back
Top Bottom